Wewe ungekuwa muajiri wao, ungeendelea kuwalipa!?Kwani wakati wanaajiriwa hiyo bodi ya ITHIBATI ilikuwepo? Si waliajiriwa kwa vigezo walivyokuwa navypo wakati huo? Hao wataendelea kulipwa mpaka mkataba wao utakapoisha.
Wewe ungekuwa muajiri wao, ungeendelea kuwalipa!?
Kwa hiyo unaamini media house hazijapewa hayo maelekezo!? Ni wazi wamepewa ndio maana hawako kazini.Sheria zinasemaje? Inabidi Bodi ya Ithibati iandikie Media House Kuwaondoa hao Staffs kwa kukosa sifa na hizo barua kutoka JAB zisainiwe na wahusika then nawaondoa.
Kwa hiyo unaamini media house hazijapewa hayo maelekezo!? Ni wazi wamepewa ndio maana hawako kazini.
Wamewapa mtihani mkubwa kweli kweli.Hao Jamaa kurudi ni kazi sana ,inavyoonekana hawana vyeti vya form iv na diploma zao ni za vyuo vya kariakoo FOJI FOJI NANGAI ,ili waweze kupata Diploma from Accredited College inabidi waresit form iv wapate CREDIT then kupata Diploma ni fasta kwasababu tayari wanajua kila kitu ...KIMBEMBE CHETI CHA FORM IV....Naona muda wa kujisajili NECTA kwa kufanya mtihani wa FORM ushapita ,hao kurudi mpaka 2027 ndiyo watasikika tena labda wachukue VYETI vya form four vya watu wengine.
Sana kwa kweli.....Walizembea maana walipewa muda wa kurekebisha makosa.Wamewapa mtihani mkubwa kweli kweli.
Hata kitenge alisoma dsj ila kitambo sana.. kuhusu zembwela sidhani kama alipita dsj maana nina uhakika ni standard seven na dsj hawapokei la 7Write your reply...zembwela alisoma DSJ ila kitenge sijui
Ina maana CZA,Dina marios, Fetty na kitenge hawana cheti Cha uandishi?Sana kwa kweli.....Walizembea maana walipewa muda wa kurekebisha makosa.
1.Clayton Revocatus -Baba Levo -Wasafi FM
2.Burton Mwemba - Mwijaku -Crown FM
3.Maulidi Kitenge -Wasafi FM
4.Hillary Daudi Mtuta -Zembwela -Wasafi FM
5.Dina Marios -Efm
6.Sylvester Mjuni - Mpoki -Efm
7.Emanuel Mgaya - Masanja -Efm
8.Perfect Crispin - Mjini FM
9. Ally Masoud Nyomwa - Masoud Kipanya -Clouds FM
10.Fatma Hassan - DJ Fetty -Clouds FM
11.CZA - Power Breakfast - CLouds FM
12.Juma Lokole -Wasafi FM
13.Idriss Kitaa -Wasafi FM
14.John Marwa - Jambo TV
Ina maana CZA,Dina marios, Fetty na kitenge hawana cheti Cha uandishi?
Aliwezaje kusoma dsj wakati form four alitagaHata kitenge alisoma dsj ila kitambo sana.. kuhusu zembwela sidhani kama alipita dsj maana nina uhakika ni standard seven na dsj hawapokei la 7
Kwani ukitaga hakuna kurudi pepa?!Aliwezaje kusoma dsj wakati form four alitaga
D nne ndiyo qualification ya kusoma Dip ya jornalism.Aliwezaje kusoma dsj wakati form four alitaga