Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Mbona unatuangusha mwanakwetu na kuukalia ukuni 🍆 ilivyo tamu sasa 🤤😋 ukichoka we mlalie kifuani aichapie kwa chini, ila usishuke.Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.
Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.
Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???
Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....
Ndo ikoje broJaribu elementary tai chi
Squats inasaidia? Nataka kitu chenye msaada 😁Mbona unatuangusha mwanakwetu na kuukalia ukuni 🍆 ilivyo tamu sasa 🤤😋 ukichoka we nlalie aichapie kwa chini, ila usishuke.
Na uanze kufanya squats basi!
Mambo ni mawili tu kuoa au kuolewaKataa ndoa ulinde afya yako ya akili
Msikilize jamaa hapo. Ingia you tube search "Tai chi" for beginners. Ni mazoezi rahisi tu ya kunyoosha nyoosha viungo ila yatakufanya unyumbulike haswaa. Kwa umri wako hutakiwi mazoezi magumu usije ukakata moto bure kaka.Ndo ikoje bro
Nasubiria maelekezo yako mtu mzima mwenzanguNjoo nikupe tizi la maana, supu ya kongoro uingize kwenye bajeti yako
Acha basi bro 😁Tendo la ndoa lifutwe
Nikiruka kamba itapunguza mchoko wa magoti?Mazoezi unaanza taratibu mpaka mwili unazoea .
Mfano waweza anza kukimbia round moja katika uwanja wa mita 100 ukawa unaongeza taratibu kila siku .
Pia Kama upo 35, mazoezi ukianza usiache kwakuwa misuli ya MTU wa miaka 35 inakuwa imeshaanza kusinyaa , itapendeza ukianza mazoezi usiache moja kwa Moja.
Pia kuna aina ya mazoezi Ambayo yapo recommended , Kama kwa watu wa umri 35-55 kama kuruka kamba.,,n.k
Navuta taswira ya mpandwaji, alikuwa na hali gani alipoona mtu anakata pumzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣.nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu