Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Joined
May 29, 2021
Posts
79
Reaction score
133
Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
IMG_20230408_141729.jpg
 
Ajabu ni kwamba huwa inazungukazunguka tu angani, kuna siku niliiona nkajiuliza ndege gani hii haina muelekeo as if imepotea, maana nilijua inaenda kutua pale JNIA ghafla ikakunja kama inaelekea mbagala.
 
Kweli kabisa we ni wa mkoani na umeandika hii rubish? Aisee kazi ipo hii nchi?... Haujaiona hiyo ndege ndio mana haujui unachosema, kwakweli tuna safari ndefu kama taifa
umeelewa nilichozungumza ? mimi nazungumzia hizo emoji sio mada iliyoletwa hapa

ndio Taifa tuna safari ndefu Mkuu, kama umeshindwa kuelewa nazungumzia kitu gani
 
Emoji ni kitu kidogo sana kwenye hiyo topic hapo... Me huwa nadeal na major issues... Hivyo vitu vya kulia sijui emoji nimewaachia ninyi tumegawana majukumu mkuu,...
umeelewa nilichozungumza ? mimi nazungumzia hizo emoji sio mada iliyoletwa hapa

ndio Taifa tuna safari ndefu Mkuu, kama umeshindwa kuelewa nazungumzia kitu gani
 
umeelewa nilichozungumza ? mimi nazungumzia hizo emoji sio mada iliyoletwa hapa

ndio Taifa tuna safari ndefu Mkuu, kama umeshindwa kuelewa nazungumzia kitu gani
Rud kasome tena ulichoandika, yan as if hiyo ni ndege tu, ndege yenyewe umeiona?. Umendika ndege tu? Hiyo ndege unayoiita ndege tu umeiona? Unajua imekuja kufanya nini? Sio ndege ya abiria wana nini... Yan wewe umeona kulia ni rahis sana sababu ni ndege tu right? Ebu jaribu kutafakari kidogo mkuu... Kwanini umesema ndege tu? Umeiona ndege physically?
 
Mkuu, nakupuuza
 
Inaleta bidhaa, vifaa vya Ubalozi wa Marekani.

TAA walishatolea ufafanuzi kuwa ni kawaida hiyo ndege huja kila mwaka
Binafsi huwa sipendelei kuziona hapa ndege za US Air Mobility Command. Wiki kabla Kamala hajaja nilianza kuona C-17, akaondoka zipo, bado wiki kadhaa zimepita ndege zinakuja na kuondoka. Uwezo wake kubeba tani nyingi sasa hiyo mizigo isiyoisha ndio najiuliza ni ya aina gani.

Kila mwaka observation yangu huwa zinakuja kama mara tatu hivi na ndio zilileta chanjo za COVID-19. Ila mwaka huu zimepitiliza
 
Back
Top Bottom