Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Kwahiyo me natumia infinix πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, daah watu wakipawa bwana... Unatumia iphone 14 pro max unakaaje uwanja wa ndege mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sisi huko tunakujaga kudaka flights tu man..
Zuzu
Binafsi huwa sipendelei kuziona hapa ndege za US Air Mobility Command. Wiki kabla Kamala hajaja nilianza kuona C-17, akaondoka zipo, bado wiki kadhaa zimepita ndege zinakuja na kuondoka. Uwezo wake kubeba tani nyingi sasa hiyo mizigo isiyoisha ndio najiuliza ni ya aina gani.

Kila mwaka observation yangu huwa zinakuja kama mara tatu hivi na ndio zilileta chanjo za COVID-19. Ila mwaka huu zimepitiliza
Tufungue kesi mkuuπŸ˜‚
 
Nikiiona nakumbuka jinsi Afghan watu walivyoidandia ikitaka paa
 
Binafsi huwa sipendelei kuziona hapa ndege za US Air Mobility Command. Wiki kabla Kamala hajaja nilianza kuona C-17, akaondoka zipo, bado wiki kadhaa zimepita ndege zinakuja na kuondoka. Uwezo wake kubeba tani nyingi sasa hiyo mizigo isiyoisha ndio najiuliza ni ya aina gani.

Kila mwaka observation yangu huwa zinakuja kama mara tatu hivi na ndio zilileta chanjo za COVID-19. Ila mwaka huu zimepitiliza
Gari nyingi zilizokuwa kwenye msafara, chakula vilikuja na hizo ndege.

Kwanini hadi sasa zipo kwa kweli hatujui, na kwanini hawajahamia Dodoma sijui, maana naona Ubalozi wa Ufaransa ndo kwanza wanaongeza fortification
 
Kweli kabisa we ni wa mkoani na umeandika hii rubish? Aisee kazi ipo hii nchi?... Haujaiona hiyo ndege ndio mana haujui unachosema, kwakweli tuna safari ndefu kama taifa
Hata mimi nimestuka kusoma hoja yake huyo mshangaaji.

Hajui maana ya neno Ulinzi na Usalama
 
Back
Top Bottom