Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Kila siku kuna feelings zinanituma kuna kitu kiovu na kibaya mno (catastrophic) /so nefarious kimepangwa na soon kitatokea ,na si hii nchi tu ,ulimwengu mzima ,trends za yanayoendelea humu duniani ni smoke screen za watu kupoteza focus ya kutafakari mwenendo wa hii dunia
Mungu atulinde....

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Acha saivi nianze kuvaa tishet langu lenye bendera ya marekani huwezi jua wanaweza wanakaniona wakanchukua niende California uko
Wewe jifanyaje choko harafu nenda ubalozini Kisha uombe hati ukimbizi
 
Kingine hakuna ndege inaweza ingia anga la nchi bila kibali cha nchi husika, na kila watumiapo anga lazima walipie kasoro kwa ndege ambazo zinapita futi nyingi juu.

Hivyo kila uionapo Tanzania jua imeruhusiwa kuja, na kwa sababu ni ndege ya kijeshi lazima maelezo yamepelekwa kwa wahusika kabla haijaingia anga letu
kamanda msemaji wa pentagon.....mwingi wa habari ....[emoji2][emoji2]
Screenshot_20230415-132616.jpg
 
Back
Top Bottom