Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

Kwahiyo me natumia infinix πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, daah watu wakipawa bwana... Unatumia iphone 14 pro max unakaaje uwanja wa ndege mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sisi huko tunakujaga kudaka flights tu man..
Zuzu
Tufungue kesi mkuuπŸ˜‚
 
Nikiiona nakumbuka jinsi Afghan watu walivyoidandia ikitaka paa
 
Gari nyingi zilizokuwa kwenye msafara, chakula vilikuja na hizo ndege.

Kwanini hadi sasa zipo kwa kweli hatujui, na kwanini hawajahamia Dodoma sijui, maana naona Ubalozi wa Ufaransa ndo kwanza wanaongeza fortification
 
Kweli kabisa we ni wa mkoani na umeandika hii rubish? Aisee kazi ipo hii nchi?... Haujaiona hiyo ndege ndio mana haujui unachosema, kwakweli tuna safari ndefu kama taifa
Hata mimi nimestuka kusoma hoja yake huyo mshangaaji.

Hajui maana ya neno Ulinzi na Usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…