Kila siku kuna feelings zinanituma kuna kitu kiovu na kibaya mno (catastrophic) /so nefarious kimepangwa na soon kitatokea ,na si hii nchi tu ,ulimwengu mzima ,trends za yanayoendelea humu duniani ni smoke screen za watu kupoteza focus ya kutafakari mwenendo wa hii duniaGari nyingi zilizokuwa kwenye msafara, chakula vilikuja na hizo ndege.
Kwanini hadi sasa zipo kwa kweli hatujui, na kwanini hawajahamia Dodoma sijui, maana naona Ubalozi wa Ufaransa ndo kwanza wanaongeza fortification
Hatuhitaji airlifter kubwa vile kwa bajeti yetu na mahitaji yetu. Inabeba tani 70 ila huwezi nunua ndege moja tu, inabidi ziwe hata mbili au tatu kuhakikisha availability muda wote. Operation cost ndio inauaHakuna uwezekano Tanzania tukanunia kama hayo hata mawili tu
whyMleta mada una kiwango gani Cha elimu
Ulitaka ilipe ya Iraq [emoji1131]Kweli kabisa we ni wa mkoani na umeandika hii rubish? Aisee kazi ipo hii nchi?... Haujaiona hiyo ndege ndio mana haujui unachosema, kwakweli tuna safari ndefu kama taifa
Hakuna sheria Yoyote Inayolazimisha Balozi za Nchi Kuwepo Makao Makuu Ya Nchi.Gari nyingi zilizokuwa kwenye msafara, chakula vilikuja na hizo ndege.
Kwanini hadi sasa zipo kwa kweli hatujui, na kwanini hawajahamia Dodoma sijui, maana naona Ubalozi wa Ufaransa ndo kwanza wanaongeza fortification
Binafsi huwa sipendelei kuziona hapa ndege za US Air Mobility Command. Wiki kabla Kamala hajaja nilianza kuona C-17, akaondoka zipo, bado wiki kadhaa zimepita ndege zinakuja na kuondoka. Uwezo wake kubeba tani nyingi sasa hiyo mizigo isiyoisha ndio najiuliza ni ya aina gani.
Kila mwaka observation yangu huwa zinakuja kama mara tatu hivi na ndio zilileta chanjo za COVID-19. Ila mwaka huu zimepitiliza
Basi ukaushe uache wanaojikita huko waulize na wajadiliane!.najua,lakini sitaki kujikita huko
unanilazimisha kujadili unachotaka ? najadili chochote kinacholetwa hapa, including emojiBasi ukaushe uache wanaojikita huko waulize na wajadiliane!.
Aisee Kuna siku nilikuwa Town mitaa ya chang'ombe nikaiona ndege ya dizaini ya kijeshi hivi kubwa kubwa ndio imetoka kupaa.Ajabu ni kwamba huwa inazungukazunguka tu angani, kuna siku niliiona nkajiuliza ndege gani hii haina muelekeo as if imepotea, maana nilijua inaenda kutua pale JNIA ghafla ikakunja kama inaelekea mbagala.
kuna diego garcia mkuu pia target siyo tz, target ni somalia-alshabaab. tz ni safe harbour tu ya kutua na kunywa mafutaNa leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
View attachment 2580832
Na watoto wamekula, wako safe? Wewe una afya, wazazi na mke wapo OK? That's all... Achana na vitu vya anga bhana😂Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
View attachment 2580832