Hivi mbona wanawake ni warahisi ukiunganishishiwa na mwanamke mwenzao

Huyo Dalali wako hakupewa no kirahisi Kuna kitu kazungumza no ikatoka chap muda si mrefu utalia.Hao viumbe wanaona mbali sana nowadays Kuna mikakati ya kugeuzwa fursa na hao wote wawili.Ebu achana na hiyo mitikasi njoo kwa Yesu Kristo utojutia nakupa hiyo connection.
 
Achana na lizwazwa hili, ni litoto la 2000 alafu bado limbukeni sana....yani mengi hajui huyu
 
Sio rahisi, or else una kitu potential kwake! Mtu hajakufaham vzr anakubalije kirahisi tu?
 
Achana na lizwazwa hili, ni litoto la 2000 alafu bado limbukeni sana....yani mengi hajui huyu
Mbona kama kichwani nati zimelegea mzee hasira za nini sasa umepigwa na maisha nini🤣🤣🤣🤣
 
Assist au kuwadi ni muhimu sana.
Kuingia mwenyewe kichwa kichwa ni ngumu kidogo
 
Yaani kuna demu najuana naye Sasa nimetaka namba ya rafiki yake aisee dakika siguri tu nimeunganishiwa na mpaka Sasa mtoto anaelekea kibra sikujia kama Kuna kitonga namna hii
Au sio!?

Weka picha tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…