Mmmh!!Sio rahisi, or else una kitu potential kwake! Mtu hajakufaham vzr anakubalije kirahisi tu?
Iko wazii.. or else mtu na biashara zake.. 🤷🏽♀️Mmmh!!
Kwa sasa wadada wanakubali tu, unconditionally!!Iko wazii.. or else mtu na biashara zake.. 🤷🏽♀️
Ndio lakini sio wote japo asilimia kubwa unajizolea tu..Kwa sasa wadada wanakubali tu, unconditionally!!
Sio wote ni kweli!! Ila wengi wanafanya tuseme "wote"Ndio lakini sio wote japo asilimia kubwa unajizolea tu..
Wanawake kabla ya kumkubali mwanaume hukaa vikao kushauriana.Yaani kuna demu najuana naye Sasa nimetaka namba ya rafiki yake aisee dakika siguri tu nimeunganishiwa na mpaka Sasa mtoto anaelekea kibra sikujia kama Kuna kitonga namna hii
tuma namba za mwenye nyumba wako, ili ujue kama nimepigwa na maishaMbona kama kichwani nati zimelegea mzee hasira za nini sasa umepigwa na maisha nini🤣🤣🤣🤣