logania
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 464
- 313
She is fine....
Sikutafutii aliyekaa hivo, nakupa aliye mrembo mara 100 zaidi. Huyu hapa.....muulize Alikiba akuelezee mambo yake.View attachment 750572
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She is fine....
Sikutafutii aliyekaa hivo, nakupa aliye mrembo mara 100 zaidi. Huyu hapa.....muulize Alikiba akuelezee mambo yake.View attachment 750572
Wewe haya mambo huyawezi, mwachie fisi 1academ ndo bingwa, sijui cku hz mmemficha wapiKwanza kuna ile scandal ya maongezi yake na Mbowe kwa simu hadi nikapata wivu, tatizo analiwa sana na who is who in Tz hadi inaboa...hehehe
Ila huo msambwanda wake....aisei inabidi kuyasahu mengine yote
Angekuwepo hapa huu uzi ungejaa picha za kila aina[QUO
Huyo dogo alitoweka na yale mapicha yake, sijui kweli yuko wapi.
Ai wewe vibaya hivyoMidada mitanzania haina sura. Sura ngumu kama ya kiume vile.
Itakuwa umeongea kinyume i hope!!!Midada mitanzania haina sura. Sura ngumu kama ya kiume vile.
Acha waolewe na wasanii sie tutaolewa na wasomi wetu na wafanyabiashara wetu tuijenge nchi yetuWakenya kumbe nanyi hamjambo kwa majungu!!!
Lakini dah Wema Sepetu kuna jinsi huniacha hoi, najikuta nikitamani nipate fursa hata ya kumsemesha, kuna siku nilisafiri naye kwenye Fastjet, tatizo nilikua nimebanwa na timeline za kikazi, nilitaka nimpe vijimaneno maneno ila bouncer wake naye akawa mzinguaji, yaani kaziba hataki asogelewe.
Japo huyo Wema ana scandals scandals hadi zinasababisha wanaume wakinai....lakini analipa hebu muone hapa
![]()