Hivi mbona wasanii wakubwa wa Bongo hawaoi nyumbani

Hivi mbona wasanii wakubwa wa Bongo hawaoi nyumbani

Kwanza kuna ile scandal ya maongezi yake na Mbowe kwa simu hadi nikapata wivu, tatizo analiwa sana na who is who in Tz hadi inaboa...hehehe

Ila huo msambwanda wake....aisei inabidi kuyasahu mengine yote
Wewe haya mambo huyawezi, mwachie fisi 1academ ndo bingwa, sijui cku hz mmemficha wapi
 
Acha hao wasanii waoe ng'ambo, ila wadada wa Tz wataolewa na wasomi wa humu humu Tanzania yetu
 
Lakini dah Wema Sepetu kuna jinsi huniacha hoi, najikuta nikitamani nipate fursa hata ya kumsemesha, kuna siku nilisafiri naye kwenye Fastjet, tatizo nilikua nimebanwa na timeline za kikazi, nilitaka nimpe vijimaneno maneno ila bouncer wake naye akawa mzinguaji, yaani kaziba hataki asogelewe.

Japo huyo Wema ana scandals scandals hadi zinasababisha wanaume wakinai....lakini analipa hebu muone hapa

New-Picture-1-2.jpg

Ahaaa haaa haaa
Unaishia kula kwa macho tu.
Siyo mbaya hiyo inaitwa MABIKU (Mapenzi Bila Kugusana).
 
Back
Top Bottom