Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

Utakuta analima mbogamboga na wafungwa
 
Si mlimchagua!tulieni tuli tu

Ova
 
Wapinzani walituchelewesha sana, In Wananchi's voice'
Kuna barabara pia ya kutoka Kinyerezi shule-Bonyokwa-Kimara Mwisho yani ni very potential road ila haiwekwi lami, ukiangalia mtu amejenga Barabara za mitaa ya kwa Gude pale Mbele ya Jet na haziko busy kama hii.

Sometimes unawangalia wenye mamlaka, wasomi anasema inhiiiiiiiiiiiiii,

Wenye kufikiri kwa akili hawana mamlaka na wanatawaliwa na wasiokua na akili
 
Mbunge hana muda kutatua matatizo ya wananchi kwasababu siku ya kupiga kura anauhakika wa kushinda kwa wizi wa kura.
 
1. Barabara ya tabata - maji chumvi only 4km ambazo kwa ushawishi wa kibunge bajeti ingepatikana na angepata ridhaa ya wananchi wa eneo hilo. Ana shida ya kuongea ma watu kama vile anawaogopa
2. Machinjio ya Vingunguti - mradi wa pesa nyingi kwa jiji lakini anashindwa kuibana serikali ikamilishe. Nadhani anasubiri muda wa kuchaguliwa ukaribie ili aongeze juhudi
 
Pengine haoni sababu ya kuwaongelea wananchi kwa kuwa na yeye wamemfanya gombania goli
 
heheheheeee.....
 
Acha umbeya wako makamu wa Rais huwa anafuata nini huko kisukuru?. Kwani kuna miradi ya maendeleo alikuja kuzindua huko. Labda alikuwa anapita tuu njia wewe unadanganya watu hapa
 
Tatizo sio mbunge, jiji la Dar watu wanajenga jenga tu bila masterplan, mwisho wa siku maendeleo yanafuata watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…