Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

1. Barabara ya tabata - maji chumvi only 4km ambazo kwa ushawishi wa kibunge bajeti ingepatikana na angepata ridhaa ya wananchi wa eneo hilo. Ana shida ya kuongea ma watu kama vile anawaogopa
2. Machinjio ya Vingunguti - mradi wa pesa nyingi kwa jiji lakini anashindwa kuibana serikali ikamilishe. Nadhani anasubiri muda wa kuchaguliwa ukaribie ili aongeze juhudi
Hamna mbunge competent mle! She is not committed at all yani ni anaifanya kama kazi ya ofisini kwamba bora liende alimradi analipwa posho zake na yake yanamuendea.
 
Acha umbeya wako makamu wa Rais huwa anafuata nini huko kisukuru?. Kwani kuna miradi ya maendeleo alikuja kuzindua huko. Labda alikuwa anapita tuu njia wewe unadanganya watu hapa
We fala Makamu ana nyumba tena mtaa wa pili toka tunapoishi huwa anakuja tembelea familia. Boya kweli wewe.
 
Back
Top Bottom