1. Barabara ya tabata - maji chumvi only 4km ambazo kwa ushawishi wa kibunge bajeti ingepatikana na angepata ridhaa ya wananchi wa eneo hilo. Ana shida ya kuongea ma watu kama vile anawaogopa
2. Machinjio ya Vingunguti - mradi wa pesa nyingi kwa jiji lakini anashindwa kuibana serikali ikamilishe. Nadhani anasubiri muda wa kuchaguliwa ukaribie ili aongeze juhudi