Kama kurasa zake za x na fb zina ushahidi wa uhalifu wake wanamhoji kitu gani?
Si wampeleke mahakamani wakamshtaki.
Kwa kuwa huna akili huwezi kuelewa kwamba kurasa zake z X na fb zipo kitaalamu na kimkakati kiasi kwamba hauwezi kumshtaki kwa ushahidi wa hizo kurasa
Nafurahi umeelewa hili, polisi isisumbuke na matahaira, "likitukana kamata chapa bakora"
Pimia madhila aliyoyapitia sativa, tafakari, uone kama ni mzima wa akili, pitia, Ulimboka utagundua huyu ni mzima kiakili, (hawa wana ukichaa type 2)