Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za
Hapo matusi yako wapi?Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Tatizo hiki kikundi cha magaidi inatakiwa kifutwe kabisa kipotee kabisa. Hapo dawa ni kukamata na kuweka ndani mbowe na kurejesha ile kesi ili ahukumiwe kunyongwa mpaka kufaKwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria...
[emoji16][emoji16]Zamani nilikupiga spana sahivi tupo pamojaMagaidi na ufisadi vimerudi kwa kasi kibiti
Matatizo ya kuto kukunwa pumbuTatizo hiki kikundi cha magaidi inatakiwa kifutwe kabisa kipotee kabisa. Hapo dawa ni kukamata na kuweka ndani mbowe na kurejesha ile kesi ili ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
Dada umekalia kipago vibaya,rekebisha mkaoMagaidi na ufisadi vimerudi kwa kasi kibiti
Dah! Ndugu umefika mbali sana. Haya maneno uliyoandika ni mazito mno. Jiepushe na maneno kama haya.Tatizo hiki kikundi cha magaidi inatakiwa kifutwe kabisa kipotee kabisa. Hapo dawa ni kukamata na kuweka ndani mbowe na kurejesha ile kesi ili ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
Hutawasikia wakiongelea hili. Wanapambananna Raia wema kabisaMagaidi na ufisadi vimerudi kwa kasi kibiti
Mkuu kwa mfano Kipindi hiki kosa la Mdude ni nini? Ni kosa hilo hilol la kukosoa Bandari?Ninamlaumu Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA kwa kutomsaidia Mdude kisaikolojia na kumwacha aangamie. Mbona kina Malisa GJ na yule mtoto...
Huyu Stuxnet ni wa ovyo kweli,Hakuna kukosoa kwa usraarabu.
A ni A na B ni B Samia kakosea na inabidi akemewe hadharani.
Kwanini asigawe na bandari za Zanzibar?
Je, ni upendo gani mkuu alio nao kwa Tanganyika kuliko Zanzibar ambako ndio kwake?
Huyu jamaa ni mjinga sana.Uzi wa kipumbavu. Hapo matusi yako wapi?
Tatizo hiki kikundi cha magaidi inatakiwa kifutwe kabisa kipotee kabisa. Hapo dawa ni kukamata na kuweka ndani mbowe na kurejesha ile kesi ili ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
Cc: Mwanasiasa mtataHuyu Stuxnet ni wa ovyo kweli,
Magufuli alifanya huu ujinga, alimkosoa kweli, hilo sio shida, hata Mimi nilimkosoa ...