Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Anyongwe haraka SanaYupo kwenye mikono sahihi sana acha ashuglikiwe
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyongwe haraka SanaYupo kwenye mikono sahihi sana acha ashuglikiwe
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
namnyoa mama yako niliye naye hapaKamnyoe mama yako kwa kiwembe kwanza ndiyo tuendelee na mjadala
Hayo maneno ndo yanatosha kuitwa uhaini? Hamtashusha joto la uuzaji wa Bandari Kwa kuwakamata Mdude na Mwabukusi. Mnaongeza ushawishi wa Wananchi kuelewa wizi wenu.Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
nasema mama yako ninaye hapa namnyoa, uwe unasikia. huyo unayemuita baba yako siyo baba yako ni wa kufikia tu. mimi ndiyo baba yako halali, huyo alibambikiwaMama yako atanyolewa na nani sasa na kiwembe ni kimoja?
Leta risiti ya kuuzia bandari tuione. Hapo kwenye uwongo wenu ndipo shida ilipoanziaHayo maneno ndo yanatosha kuitwa uhaini? Hamtashusha joto la uuzaji wa Bandari Kwa kuwakamata Mdude na Mwabukusi. Mnaongeza ushawishi wa Wananchi kuelewa wizi wenu.
Ni mpumbavu tu anayeamini Kila kitu kinauzwa Kwa risiti.Leta risiti ya kuuzia bandari tuione. Hapo kwenye uwongo wenu ndipo shida ilipoanzia
Wewe hanithi una uume wa kuendea haja ndogo tu unaweza ukamzaa nani?. Peleka matako yako kwa bashan wakonasema mama yako ninaye hapa namnyoa, uwe unasikia. huyo unayemuita baba yako siyo baba yako ni wa kufikia tu. mimi ndiyo baba yako halali, huyo alibambikiwa
yule amekosa malezi sahihi, pili anatumia bangi, tatu ana matatizo ya afya ya akili, nne anatumiwa na vibaraka na wapinzani wa rais Samia. Hana amani ya moyo, anahitaji maombi makubwa. Ila subiri kule aliko sahivi kutamfunza vya kutosha.Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.
Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.
Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi
Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"
Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.
Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
ndio tabia yako we shoga?
Umelewa na mama wa kufikia siyo? matusi ni kukosoa? Halafu ujue Samia siyo rais wa Zanzibar, Zanzibar ina rais wake hawaingiliwi ktk mipango yao ya maendeleo. Issue ya babdari ilikuwaga ya muungano, marekebisho yamefanyika siyo ya muungano tena.Hakuna kukosoa kwa usraarabu.
A ni A na B ni B Samia kakosea na inabidi akemewe hadharani.
Kwanini asigawe na bandari za Zanzibar?
Je, ni upendo gani mkuu alio nao kwa Tanganyika kuliko Zanzibar ambako ndio kwake?
usikose kuhudhuria mahakamani utajua km ni uhaini au laHayo maneno ndo yanatosha kuitwa uhaini? Hamtashusha joto la uuzaji wa Bandari Kwa kuwakamata Mdude na Mwabukusi. Mnaongeza ushawishi wa Wananchi kuelewa wizi wenu.
Ingekuwa ni kwenye mahakama za kimataifa ningeshangaa kama Mbowe angeshitakiwa kwa lolote kwa ile kesi ya kubumba. Lakini kwa mahakama hizi zinazopewa maagizo na viongozi wa CCM wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi, nashangaa kwanini Mbowe hajafungwa.Tatizo hiki kikundi cha magaidi inatakiwa kifutwe kabisa kipotee kabisa. Hapo dawa ni kukamata na kuweka ndani mbowe na kurejesha ile kesi ili ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
Hakuna muungano ambao Mzanzibari anaweza kupata ardhi na hata kugombea cheo chochote huku Tanganyika, lakini mtanganganyika ukienda Zanzibar huwezi kupata chochote kati ya hivyo. Huo sio muungano bali ni utapeli wa mchana kweupe.Umelewa na mama wa kufikia siyo? matusi ni kukosoa? Halafu ujue Samia siyo rais wa Zanzibar, Zanzibar ina rais wake hawaingiliwi ktk mipango yao ya maendeleo. Issue ya babdari ilikuwaga ya muungano, marekebisho yamefanyika siyo ya muungano tena.