mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Harakati ndizo zilivyoNinamlaumu Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA kwa kutomsaidia Mdude kisaikolojia na kumwacha aangamie. Mbona kina Malisa GJ na yule mtoto wa Mbowe hawapati kashkash kama za Mdude? Jibu ni kuwa wazazi wao ambao pia ni wamiliki wa CHADEMA wanawaongoza vizuri na kuwaonya kuhusu uropokaji. Mdude kwasababu ni mtu baki ni kama wamemtoa kafara. Anachoambulia ni hashtag ya free mdude. Kina Mnyika wao huwa hawakamatwi kwa sababu wanajua timing ya kuongea. Mdude kama watoto wengine kutoka familia maskini wanawekwa mstari wa mbele kimakusudi na mmiliki wa CHADEMA Sultan Mbowe.
Malcolm x ,Luther King, Mandela,biko
Nk wote walipitia kashkash
Ova