Kama aina hii ndio wasomi. Ni halali wazungu kutuletea AI na RobotZa jpili
Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma
Nawaza tu hivi aje dk kupima
HIv
humu
Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 endelea kucheka kama. Mazuri
Jpili njema kwa hisani ya mashabuki wa
🇪🇸
Lamal....
Nabii Msomi
Pdidy2026
nao wamwaminio aliwafanya wanae enenden kwa roho kamwe hamtashidwa na tamaa za mwiliWafilipi 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu!
Oh! hallelujah¡¡¡¡ ila sema gen-z wanahitaji nguvu ya Roho mtakatifu maana sio kwa kizazi hiki chenye makebo makubwa!nao wamwaminio aliwafanya wanae enenden kwa roho kamwe hamtashidwa na tamaa za mwili
Ameeeeeeen
tena ndo wanaogoza kusambaza HIV unaweza wew kutulia ila wa ubavu wako akawa wanambavulaOh! hallelujah¡¡¡¡ ila sema gen-z wanahitaji nguvu ya Roho mtakatifu maana sio kwa kizazi hiki chenye makebo makubwa!
Inasikitisha sana... kama kuna kabinti sayuni huko kako vizuri usisite kunijulisha, nisije nikateseka mwenzio!¡¡¡tena ndo wanaogoza kusambaza HIV unaweza wew kutulia ila wa ubavu wako akawa wanambavula
😂😂😂Huyo unaemuita mtoto yupo humu tokea 2007 mzee, you better watch your back man.
Itapendeza sana kama atakuwa anaimba sauti ya tatu,,, tuwe tunashusha vocal pamoja!Ntakutafutia mwanakwaya mpendwa
ondoa shaka nitakusaidia kwenye maombi M-ngu akiluhusu atakupatia hitaji la moyo wakoInasikitisha sana... kama kuna kabinti sayuni huko kako vizuri usisite kunijulisha, nisije nikateseka mwenzio!¡¡¡
🤣🤣🤣😂😂😂
"You better watch your back" 🤣🤣
Msemo bora kabisa wa Dudu baya
Pdidy njoo tupimeZa jpili
Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma
Nawaza tu hivi aje dk kupima
HIv
humu
Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 endelea kucheka kama. Mazuri
Jpili njema kwa hisani ya mashabuki wa
🇪🇸
Lamal....
Nabii Msomi
Pdidy2026
mkuu Tundazuri mbona kama una uhakika sana na mambo yako🤣tupe siri ya uremboPdidy njoo tupime
Mzee wa hovyo weweZa jpili
Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma
Nawaza tu hivi aje dk kupima
HIv
humu
Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 endelea kucheka kama. Mazuri
Jpili njema kwa hisani ya mashabuki wa
🇪🇸
Lamal....
Nabii Msomi
Pdidy2026
😹😹😹Yani unamuita baba yako taahira dah kweli wewe ni kizazi cha nyoka😆