Hivi member wote humu tupime HIV nani atatoboa??

Kama aina hii ndio wasomi. Ni halali wazungu kutuletea AI na Robot
 
nao wamwaminio aliwafanya wanae enenden kwa roho kamwe hamtashidwa na tamaa za mwili
Ameeeeeeen
Oh! hallelujah‘‘‘‘ ila sema gen-z wanahitaji nguvu ya Roho mtakatifu maana sio kwa kizazi hiki chenye makebo makubwa!
 
Oh! hallelujah‘‘‘‘ ila sema gen-z wanahitaji nguvu ya Roho mtakatifu maana sio kwa kizazi hiki chenye makebo makubwa!
tena ndo wanaogoza kusambaza HIV unaweza wew kutulia ila wa ubavu wako akawa wanambavula
 
AMINA BABA MTUMISHI NIACHIE HIO KAZI

MALIPO NIOMBEE NIONGEZEE MTOTO WA NNE KWA SHEMEJI YAKO MWAKA HUU LOH...NAONA DOGO WANGU MMMOJA KAONGEZA WA NNE M NA TATU ....

MAOMBIYAKO
 
Pdidy njoo tupime
 
Mzee wa hovyo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…