Tuje na suluhisho ganiKinachofanyika kwenye ESS ni biashara ,kuna watu wananufaika na hizo program ...Hayo mabank yanatoa dividend kila mwaka na kuwahonga watu wengine.
Bank hazina mpango wa kushusha , watapata wapi faida za kutangaza kila siku.Tuje na suluhisho gani
Mikopo Kwa developing countries inatakiwa kuwa na digit moja, serikali ilione hiliBank hazina mpango wa kushusha , watapata wapi faida za kutangaza kila siku.