B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 660 Jul 25, 2025 #1 1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 660 Jul 25, 2025 Thread starter #2 Karibuni
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 7,464 Reaction score 12,564 Jul 25, 2025 #3 Kinachofanyika kwenye ESS ni biashara ,kuna watu wananufaika na hizo program ...Hayo mabank yanatoa dividend kila mwaka na kuwahonga watu wengine.
Kinachofanyika kwenye ESS ni biashara ,kuna watu wananufaika na hizo program ...Hayo mabank yanatoa dividend kila mwaka na kuwahonga watu wengine.
B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 660 Jul 25, 2025 Thread starter #4 Tanganian said: Kinachofanyika kwenye ESS ni biashara ,kuna watu wananufaika na hizo program ...Hayo mabank yanatoa dividend kila mwaka na kuwahonga watu wengine. Click to expand... Tuje na suluhisho gani
Tanganian said: Kinachofanyika kwenye ESS ni biashara ,kuna watu wananufaika na hizo program ...Hayo mabank yanatoa dividend kila mwaka na kuwahonga watu wengine. Click to expand... Tuje na suluhisho gani
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 7,464 Reaction score 12,564 Jul 25, 2025 #5 Bin S said: Tuje na suluhisho gani Click to expand... Bank hazina mpango wa kushusha , watapata wapi faida za kutangaza kila siku.
Bin S said: Tuje na suluhisho gani Click to expand... Bank hazina mpango wa kushusha , watapata wapi faida za kutangaza kila siku.
B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 660 Jul 25, 2025 Thread starter #6 Tanganian said: Bank hazina mpango wa kushusha , watapata wapi faida za kutangaza kila siku. Click to expand... Mikopo Kwa developing countries inatakiwa kuwa na digit moja, serikali ilione hili
Tanganian said: Bank hazina mpango wa kushusha , watapata wapi faida za kutangaza kila siku. Click to expand... Mikopo Kwa developing countries inatakiwa kuwa na digit moja, serikali ilione hili