kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Habari wapendwa?
Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari.
So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?