kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Ha ha.kwa hiyo kumbe kibongo ni suala la kawaida?Mimba za kibongo ndo znakuaga na hasira ila wazungu hawanaga haya mambo kbsa
Very sorry [emoji20]Nakumbuka ilikuwa kila nikirudi kutoka kazini anawahi kunivua fulana yangu kisha anainusa usiku kucha.Anasema alikuwa anapenda jasho langu na asipolala Nalo hawezi kupata usingizi kabisa
Alifanya hivi miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito wake Ila isivyo bahati mimba yake ilipofikisha miezi 6 siku moja akateleza kwenye tiles zilizolowana maji akaangukia mimba ikaharibika papohapo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
I am so sorry for both you and your wife.Nakumbuka ilikuwa kila nikirudi kutoka kazini anawahi kunivua fulana yangu kisha anainusa usiku kucha.Anasema alikuwa anapenda jasho langu na asipolala Nalo hawezi kupata usingizi kabisa
Alifanya hivi miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito wake Ila isivyo bahati mimba yake ilipofikisha miezi 6 siku moja akateleza kwenye tiles zilizolowana maji akaangukia mimba ikaharibika papohapo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Poleni sana .Nakumbuka ilikuwa kila nikirudi kutoka kazini anawahi kunivua fulana yangu kisha anainusa usiku kucha.Anasema alikuwa anapenda jasho langu na asipolala Nalo hawezi kupata usingizi kabisa
Alifanya hivi miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito wake Ila isivyo bahati mimba yake ilipofikisha miezi 6 siku moja akateleza kwenye tiles zilizolowana maji akaangukia mimba ikaharibika papohapo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Anaendelea vizuri sn,lkn hajawahi kushika mimba tena..tukio lilitokea mwaka Jana mwezi wa 8Poleni sana mkuu,,, Anaendeleaje wifi yangu kwa sasa