Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

Habari wapendwa?
Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana,kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari.
So nauliza ,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
Mwambie akiendelea hivyo utampandisha cheo.
 
Habari wapendwa?
Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana,kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari.
So nauliza ,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?

Mpandishe cheo huyo awe mke mkubwa mwenye mimba...
 
Tabia za wajawazito huwa hazina uhusiano wa moja kwa moja na hali yao. Wengi wao ni kutaka sifa sababu kabla hawajawa wajawazito walishasikia wenzao wanavyokuwa wakiwa na ujauzito.

Sasa ukitaka jua anakufanyia kusudi mpeleke kwa wazazi wake au nduguze au mtafute mtu akae nae wewe safiri nenda mbali nae uone kama hajanyooka.

Hizo ni fujo za kutafuta attention , ingawa huwa wakiwa katika hiyo hali huwa kuna mabadiliko ya kisaikolojia wanapitia ila huwa si kwamba wanakuwa 100% nje ya control ya akili yao.
 
Huwa inaleta psychological trauma kwa mama , na ni vizuri unavyompa moyo .
Mungu ni mwema naamini atawajalia mtoto .
 
Habari wapendwa?

Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari.

So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
Mlie timing, mweleze kistaarabu kuwa yeye siyo mwanamke wa kwanza kushika mimba, asitumie mimba kama sababu ukimuendekeza utakuwa unashindwa kufanya mambo mengine ya msingi kisa ana mimba.
 
Pole mkuu,
Mungu azidi kuwafariji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Facts.
 
Eti mimba inaweza kukuchukia wewe uliempa.. Nyambaaf hii kitu itafanya nimuachie hiyo mimba yake ailee.

Mimba ya dada zetu waliozalia home hainaga hizi mambo za penda hiki chuki yule penda sana yule.

Sometimes hizi mambo wanawake wanazifanya sana kwa wale wanaume ambao wanajali saana ndo wanaletewa vinyambazongo kama hivyo.
 
Kama ilipatikana kwa doggy huku unamchapa makofi ya makalio hilo sheikh halikwepeki..
 
Ooh jamani. It's such a hard thing to experience. Just keep being there for her , she will get through this, Yah, y'all will get through this.
Again, sorry this happened to you guys.

Btw, you sound a very caring and compassionate husband. Tunahitaji wanaume wa hivi.
 
Thank u madam Paula Paul 🙏
 
Anahisi marue rue tumboni, baada ya miezi 3 au 4 atakaa sawa
 
Kubeba mimba sio kitu kirahisi , kwanza mwili unakua umepokea hali mpya hivyo even hormones zna react . kupata dalili kama hizo kupo kabisa unaweza kuta mtu analala mpaka kwenye sakafu na kuna baridi just anakuwa anahis tabu na udhaifu katika mwili, wengine wanakuwa kawaida just we are not same.
 
Mabadiliko...

Wengi wanakuwa na hasira..hii Kama humjuilii..atakuwa anakumalizia wewe
 
Niliwahi kuwauliza wanawake kadha wote walidai kuwa na mood swings ila kiburi na madhila mengine ni kukomoana na usumbufu
 
Kwa wale wajanja...kuna demu ameniambia ana ujauzito wangu...na.kwa sasa ujauzito una miezi 6...hivi huwa zipo njia za kutambua ujauzito kama wa ni wa kwako?..demu anatia huruma sana...nataka niwe natoa msaada lakini demu mwenyewe ni kicheche kwa hiyo machale yananicheza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…