kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi.
Iko hivi, mimi nahisi nimerithi tabia ya uvivu, naweza nikalala usiku nikajisemea moyoni kabisa kuwa kesho niamke mapema nifanye usafi ndiyo niondoke, badala yake nachelewa kuamka najiandaa chap chap nasepa hata huo usafi unakuta sifanyi, au nikipumzika huwa nawaza na kuwazua kuwa niwahi kuamka nifanye mambo yangu mapema lakini badala yake nachelewa na usafi na kufua nafanya kwa kuchelewa mno.
Naombeni ushauri nifanyaje kuishinda hii hali,niweze kufanya mambo yangu yote kwa wakati ninaukusudia??