Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Hahaha dah! Hucheki na wowote unatema checheWewe ni mchafu na sio mvivu...
Tatizo sio wewe ni mama yako aliyekulea...
NB: Mtoto mpumbavu mzigo wa mamaye
Hahaha dah! Hucheki na wowote unatema checheWewe ni mchafu na sio mvivu...
Tatizo sio wewe ni mama yako aliyekulea...
NB: Mtoto mpumbavu mzigo wa mamaye
Nifanyaje sasa mkuu niweze kuwa smart girl?Binti Sayuni03 ⬇️
View attachment 3296919
Chumba Chake⬇️
View attachment 3296920
Huo wako ndio uhalisia wa vibinti vingi mitaani. Unakutana na demu sister duu, kaangalia anapolala sasa. Kama msela mvuta bangi.
Naifanyaje sasa mkuu niepukane na hii hali?Wewe ni mchafu na sio mvivu...
Tatizo sio wewe ni mama yako aliyekulea...
NB: Mtoto mpumbavu mzigo wa mamaye
Nofanyaje sasa mkuu kuepuka hii haliWewe umeamua kumaliza kabisa.
Anataka kuhalalisha uchafu kama vile kitu kizuri kwa mtu kuwa nacho wakati ni fedheha hasa kwa mtoto wa kike.
Design hizi ndio wakujikandika marashi ila ndani ya maungo ni fungo.
Mtu anaediriki kukiri kuwa mvivu wa kufua, basi hatoona tabu kutokukoga ama kubadili nguo ya ndani.
Kivipi mkuuKaribu Nikuchangamshe Zaidi Uondokane Na Hiyo Hali Binti
Mimi wa kikeUkioa utabadilika usijali
Mimi w kikeOa tu mkuu,utaamshwa hata Kwa kelele za maombi ya usiku wa manane!!!
Duuh🤨,nikuoe tu mkuu nikusumbue na Cha asubuhi,anyway nipo kwenye viti virefu now!!!Mimi w kike
Umekunywa ngapi aisee😁😁Duuh🤨,nikuoe tu mkuu nikusumbue na Cha asubuhi,anyway nipo kwenye viti virefu now!!!
Ni kuamua tu, ila samaki akikauka hakunjiki😂Naifanyaje sasa mkuu niepukane na hii hali?
Dah! Itabidi nianze kujifosi tuNi kuamua tu, ila samaki akikauka hakunjiki😂