kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Kuwahi kulala hapo sitaweza maana huo muda ndo natoka job, alarm nawek ila ikilia nasema ngoja nilale kidogo ndiyo najikuta nimepitia nimeshachelewaWeka kengele ya kukuamsha, pia wahi kulaka, saa nne uwe tayari kitandani.
Ndo inakuwaje hii mkuuDisturb your comfort zone hilo tu..
Basi uwe unafanya hizo kazi za asubu usiku ili ikifika asubuhi isikusumbue kuamkaKuwahi kulala hapo sitaweza maana huo muda ndo natoka job, alarm nawek ila ikilia nasema ngoja nilale kidogo ndiyo najikuta nimepitia nimeshachelewa
Usiku napo huwa najisemea ntafanya asubuhiBasi uwe unafanya hizo kazi za asubu usiku ili ikifika asubuhi isikusumbue kuamka
Uliponaje sasaNimepitia hiyo hali,binafsi nilikuwa sioni raha hadi asubuhi nikimbizane na muda yani ni rahaaaa nakurupuka vuuup mbiooo kuoga kuvaaa mbioooo
Hapo huchelewi kuamka bali unajichelewesha tu na siku nguo unayotaka uvaa ikiwa chafu ndo utajiona sasa kuwa huna uvivu🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Nimepitia hiyo hali,binafsi nilikuwa sioni raha hadi asubuhi nikimbizane na muda yani ni rahaaaa nakurupuka vuuup mbiooo kuoga kuvaaa mbioooo
Hapo huchelewi kuamka bali unajichelewesha tu na siku nguo unayotaka uvaa ikiwa chafu ndo utajiona sasa kuwa huna uvivu🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Nimeipenda hiiWewe sio mvivu tu na ni mchafu.
Anatafuta kuhalalisha hilo, tena mtoto wa kikeNimeipenda hii
Wewe umeamua kumaliza kabisa.Wewe ni mchafu na sio mvivu...
Tatizo sio wewe ni mama yako aliyekulea...
NB: Mtoto mpumbavu mzigo wa mamaye
Safi kabisaWewe ni mchafu na sio mvivu...
Tatizo sio wewe ni mama yako aliyekulea...
NB: Mtoto mpumbavu mzigo wa mamaye