Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wandugu naomba tujuzane ili kama nikuzaliwa wengine tusiingie kwenye vipaji vya watu. pia kama wanatengenezwa nasi tukajitengeneze.
watu tumezaliwa na sifa tofauti. kuna wengine wavumilivu sana na wengi ni risk taker sana. hii yote hutokana na genetic hasa jinsi adrenaline zilizopo na jinsi zinafanya kazi. lakini ujasiriamali una sifa nyingi kwa hiyo napata shaka mtu azaliwe risk take, mvumilivu, mbunifu, nk. huwa napata tabu kuamini kwamba wajasiriamali huzaliwa. mi huamini hutengenezwa na elimu, mazingira na fursa zilizopo. naomba unifafanulie kidogo kuhusu wajasiliamali wa kuzaliwaJibu sahihi ni vyote viwili,,, mjasiriamali wapo wa kuzaliwa pure na wakutengenezwa hasa mwenye angalau chembe chache za kuzaliwa,,, kwa sababu ujasriamali ni attributes TABIA - WANAZIITA - GETs General Enterprising Tendecies hzi ziko nyangi tu mfano ; Creativity, locus control, risk taking, motivation na vingine nyingi tu,,, pia kuna uwezekano wa kumpima mtu au kujipima na kujuwa kiasi cha ujasriamali ulichonacho ili kufanya maamuzi kama wewe ni mjasriamali au ni mfanyabiashara wa kwaida tu au haa unastahili kuajiliwa tu.
watu tumezaliwa na sifa tofauti. kuna wengine wavumilivu sana na wengi ni risk taker sana. hii yote hutokana na genetic hasa jinsi adrenaline zilizopo na jinsi zinafanya kazi. lakini ujasiriamali una sifa nyingi kwa hiyo napata shaka mtu azaliwe risk take, mvumilivu, mbunifu, nk. huwa napata tabu kuamini kwamba wajasiriamali huzaliwa. mi huamini hutengenezwa na elimu, mazingira na fursa zilizopo. naomba unifafanulie kidogo kuhusu wajasiliamali wa kuzaliwa
hiyo link ya kwanza ni nzuri sana. nafikiri wengine wanafikiri sifa kubwa ya mjasiriamali ni risk taking na wengine wanasema ni oppotunity recognition. wanasema opportunities are created na elimu na mazingira. gates na mark walisomea mambo ya software pia ni rahisi kulima Tanzania kuliko nchi kama Eritrea. pia siku hizi watu wengi wanalima na kufuga na kutoka baada ya kurecognizes furs huko . hii imetokea baada ya kupata taarifa kama kupia majukwaa kama.Pitia hapa unaweza elewa Are Entrepreneurs Born or Made?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...l-administrative-orientation.html#post6930580
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/496219-sababu-za-kuwa-mjasiriamali-push-pull-factors-of-entrepreneurs.html#post6961283
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ujasiriamali-unavyopatikana.html#post6930489
mi nimefikia mkataa kwambaasilimia kubwa hutengenezwa hasa kupitia elimu na mazingira (formal na informal). S. korea, Taiwan na Uholanzi watu wake ni more interpreneurial kuliko Watanzania. unafikiri tatizo ni lakuzaliwa au kutengenezwa.Interpreneurs are born not made. hii haimaanishi kuwa km baba yako si mfanyabiasha basi hawezi kumzaa mfanyabiashara and vice versa. under ceteris paribus ( other factors remain constant) Risk takers ndio wenye chance kubwa ya kufanikiwa ktk ujasiriamali. km ww unapenda kuiona cash tu ila kuitoa unaogopa bora ukakomaa ofisini! Conclusion: Entrepreneurs are born not made!
solly mkuu, huku unyakyusani huwa hakuna r hata kwa kuandika.
unajua kwenye kuwaza na kusema hatuna ''r'' hivyo tunapobadilisha mawazo kuwa maandishi nayo automatically yanakosa ''r''.Kuna keyboard za Kinyakyusa? Makubwa haya.
Huku kwetu Uswahilini tuna msemo "asiyefundwa na mama'e, hufundwa na ulimwengu". Kumbuka hilo.
mi nimefikia mkataa kwambaasilimia kubwa hutengenezwa hasa kupitia elimu na mazingira (formal na informal). S. korea, Taiwan na Uholanzi watu wake ni more interpreneurial kuliko Watanzania. unafikiri tatizo ni lakuzaliwa au kutengenezwa.