Hivi mjasiriamali anazaliwa, anatengenezwa?

Hivi mjasiriamali anazaliwa, anatengenezwa?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Wandugu naomba tujuzane hili,

Kama ni kuzaliwa wengine tusiingie kwenye vipaji vya watu, pia kama wanatengenezwa nasi tukajitengeneze.
 
Mkuu,

Hili swali lako ni sawa na swali la Leaders are born or made

Hakuna kitu kama hicho mkuu ila kunakua na tofauti ya brain ama hapa JF munaita IQ wengine wanakamata (bright or clever)zaidi kuliko wengine.

Lakini swali la kujiuliza inakuaje kama leaders are born not made how come sote tunakwenda shule na pia kuna institutions maalum za kuwafundisha watu kuwa leaders.

Wengine wanaweza sema kwamba wanaenda shule kuondoa ujinga tuu lakini hamna leaders unayemjua akawa hajapita shule.

Nilifanya assignment kuhusu hii kitu first year uni nilichogundua ni wachache ndo wanosema hayo maneno (theorists) kama Great Man and Trait Theory lakini wanosema.

kibiashara swali hili linategemeana sana na ww mwenyewe vipi umeamua kufanya business na unavyochangamka na watu unaweza soma matabu yote ya business ila ukafeli katika practical na unaweza jua hesabu tuu na ukafanya vizuri sana na huna darasa hata moja. Biashara bana hata sijui nisemeje.

Sitaki kukuchosha na maneno mengi kwasababu naweza kuja kuangusha assignment nzima hapa wataalam na wenye experience zaidi watakuja kuchangia.
 
Oky nami nichangie kidogo ninacho faham, jinsi unavyo jisikia ndani ya nafsi yako hivyo ndivyo ulivyo, kwa mfano ukimuona mtu amefunga tai amependeza ana enda oficen unajisikiaje?

Furaha na unatamani ungekua ww? Na ukimuona mtu amevaa kawaida yupo dukani kwake au kwenye biashara yake unajisikiaje? Unatamani na ww uwe na biashae yako?

Jitathimini halafu fanya unacho kisikia ndani ya moyo wako utafanikiwa, kusoma ni jambo zuri ili kuongeza ufahamu wa mambo ila sio kigezo cha kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio msingi ni kufanya jambo kutoka ndani ya moyo na kuwa tayali kukabiliana na changamoto zitakazo jitokeza, karibu tuonane mm pia ni mfanyabiashara.
 
wandugu naomba tujuzane ili kama nikuzaliwa wengine tusiingie kwenye vipaji vya watu. pia kama wanatengenezwa nasi tukajitengeneze.

Jibu sahihi ni vyote viwili,,, mjasiriamali wapo wa kuzaliwa pure na wakutengenezwa hasa mwenye angalau chembe chache za kuzaliwa,,, kwa sababu ujasriamali ni attributes TABIA - WANAZIITA - GETs General Enterprising Tendecies hzi ziko nyangi tu mfano ; Creativity, locus control, risk taking, motivation na vingine nyingi tu,,, pia kuna uwezekano wa kumpima mtu au kujipima na kujuwa kiasi cha ujasriamali ulichonacho ili kufanya maamuzi kama wewe ni mjasriamali au ni mfanyabiashara wa kwaida tu au haa unastahili kuajiliwa tu.
 
watu tumezaliwa na sifa tofauti. kuna wengine wavumilivu sana na wengi ni risk taker sana. hii yote hutokana na genetic hasa jinsi adrenaline zilizopo na jinsi zinafanya kazi. lakini ujasiriamali una sifa nyingi kwa hiyo napata shaka mtu azaliwe risk take, mvumilivu, mbunifu, nk. huwa napata tabu kuamini kwamba wajasiriamali huzaliwa. mi huamini hutengenezwa na elimu, mazingira na fursa zilizopo. naomba unifafanulie kidogo kuhusu wajasiliamali wa kuzaliwa
 
Interpreneurs are born not made. hii haimaanishi kuwa km baba yako si mfanyabiasha basi hawezi kumzaa mfanyabiashara and vice versa. under ceteris paribus ( other factors remain constant) Risk takers ndio wenye chance kubwa ya kufanikiwa ktk ujasiriamali. km ww unapenda kuiona cash tu ila kuitoa unaogopa bora ukakomaa ofisini! Conclusion: Entrepreneurs are born not made!
 
Pitia hapa unaweza elewa Are Entrepreneurs Born or Made?

[URL]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/494139-differences-between-an-entrepreneurial-and-non-entrepreneurial-administrative-orientation.html#post6930580

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/496219-sababu-za-kuwa-mjasiriamali-push-pull-factors-of-entrepreneurs.html#post6961283

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ujasiriamali-unavyopatikana.html#post6930489

[/URL]
 
Entrepreneur are either born or made. both are answers. unatakiwa ujue ukisema born unatetea na hoja gani, na ukisema made unatetea na hoja zipi. hii inawahusu sana wanafunzi, mi hili swali niliwahi kulijibu kwa mtindo huu - nikapasua vibaya.

nikasema ni made natoa point za made, zen mwisho nasema for the other side ni born due to the ..........., conclusion kidogo namaliza.

huo upande wa pili usieleze sana point zake just mention tu, yani kama utasema ni made toa sababu na eleza short and clear, zen useme born na just mention reasons tu. (hii ni kwa wanafunzi)

kwa kawaid ndo hivyo, wapo waliozaliwa hivyo na wapo walitengenezeka hivyo kutokana na external factor zinazotuzunguka. inatosha.
 
hiyo link ya kwanza ni nzuri sana. nafikiri wengine wanafikiri sifa kubwa ya mjasiriamali ni risk taking na wengine wanasema ni oppotunity recognition. wanasema opportunities are created na elimu na mazingira. gates na mark walisomea mambo ya software pia ni rahisi kulima Tanzania kuliko nchi kama Eritrea. pia siku hizi watu wengi wanalima na kufuga na kutoka baada ya kurecognizes furs huko . hii imetokea baada ya kupata taarifa kama kupia majukwaa kama.

pia jamaa aliesema kuna pull na push factors ameoyesha jinsi mazingira yana nguvu. nafikiri ninakubaliana na wewe kwamba vyote huchangia kutoa wajasiriamali japo naamini genes huchangia kwa kiasi kidogo.
 
Interpreneurs are born not made. hii haimaanishi kuwa km baba yako si mfanyabiasha basi hawezi kumzaa mfanyabiashara and vice versa. under ceteris paribus ( other factors remain constant) Risk takers ndio wenye chance kubwa ya kufanikiwa ktk ujasiriamali. km ww unapenda kuiona cash tu ila kuitoa unaogopa bora ukakomaa ofisini! Conclusion: Entrepreneurs are born not made!
mi nimefikia mkataa kwambaasilimia kubwa hutengenezwa hasa kupitia elimu na mazingira (formal na informal). S. korea, Taiwan na Uholanzi watu wake ni more interpreneurial kuliko Watanzania. unafikiri tatizo ni lakuzaliwa au kutengenezwa.
 
Kuna keyboard za Kinyakyusa? Makubwa haya.

Huku kwetu Uswahilini tuna msemo "asiyefundwa na mama'e, hufundwa na ulimwengu". Kumbuka hilo.
unajua kwenye kuwaza na kusema hatuna ''r'' hivyo tunapobadilisha mawazo kuwa maandishi nayo automatically yanakosa ''r''.
 
Entrepreneurs are born not made broo
unajua kuna nchi wajasiriamali ni wengi kuliko zingine. je utasema hizo nnchi watu wengi huzaliwa na genes za ujasiriamali kuliko zingine?
 
mi nimefikia mkataa kwambaasilimia kubwa hutengenezwa hasa kupitia elimu na mazingira (formal na informal). S. korea, Taiwan na Uholanzi watu wake ni more interpreneurial kuliko Watanzania. unafikiri tatizo ni lakuzaliwa au kutengenezwa.

Broo km umesoma link ya hapo juu. yule jamaa anayesema kwamba wanatengenezwa kuna sehemu anasema kwamba genes za entrepreneurship pia zinahusika. ni kweli externak forces km opportunities na mazingira vinaongeza strongness kwenye entrepreneurship ila you must be having the characteristics of entrepreneur. jaribu kuzigoogle zitakusaidia. genes are transferable mfano inawezekana babu mzaa babu yako alikuwa nazo then waliofata wote hawakuzipata ukajikuta ww unazipata. ww ukishaona una sifa za mjasiliamali then you were born with them. ila vinginevyo unaweza kufundishwa na kuwa vizuri theoretically ila practically huwezi. ndio maana wengine wanakuwa walimu kuwafundisha wajasiliamali jiulize kwa nn wao wasiwe wajasiliamali.
 
Back
Top Bottom