Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

Shida hua ipo pale pesa inapokuwepo hua mnapanga wote Budget??mim wangu hua yupo 50/50.
 
Yaan mkuu huyu wangu kama anakudai pesa yake na pengine labda hukufanikiwa kuipata aisee hadi uwa analia machozi kama mtoto na hapo umemuhaid kwamba utampatia pesa yake
Yani anadai hela kwa kilio kmmmke dah?!
 
Kweli kabisa mkuu, ni makahaba ambao hawako certified ila wanajishughulisha na uuzaji maku kiholela 😅😅😅!

Mwanamke akinitesa nikiwa sina hela zoezi la kwanza ni kumfurumusha baada ya kupata hela sitaki mazoea nae hata chembe!
 
kabisa kuna wake wanabeba waume zao ndani na kuwastiri mno
hii pia utegemeana na jinsi anavyomtreat mkewe anapokuwa na pesa
Wanawake ambao kutwa kukucha eti siwezi kumlea mwanaume mimi,ila mume yeye anakulea na kukuvisha bila kuchoka miaka yote ila akipata majanga kiuchumi unamgeukia hivi mtu wa aina hii akitoa hela yake alishe familia week tu sindio na deki utapigishwa kabisa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Atatangazia na Umma kuwa anakulisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Atatangazia na Umma kuwa anakulisha
Ndio hao hao leo hii wamegeuka malaika eti atamsupport tu sababu anajua kuna kupata na kukosa 😅😅😅! Ila ikija mada ya kusaidiana na mume utaona walivyo vinyonga 😅

Kuna mzee tu hapa mtaani ni mzee wa heshima amefanya kazi mda mrefu tu serikalini! Amemaliza muda wake akastaafu hajamaliza miaka miwili mtaani mkewe inasemekana anamuwashia moto balaa yani! Jamaa anasimangiwa mambo ya kijinga jinga tu pesa imekata na pensheni yake kule wanamzungusha baada ya kuifatilia bila mafanikio akaona arudi zake kijijini kwao Mbeya tu. Mkewe bado ni mfanyakazi kwa hio anakazi ya kusimamia show zote mjengoni ila kwa yale manyanyaso na mkewe kukosa stara na matangazo jamaa ilibidi asepe amuachie na nyumba kabisa na magari! Kaenda zake kwao Mbeya jamaa.
 
Sio mke ila ni mchumba, nilikwama kidgo kwenye biashara zangu japo ni ndogo bado nipata loss, alinipa kiasi cha fedha na wala ajanidai hadi sasa yapata miezi minne N.B pesa alizonisaidia ni ndogo mnoo kulinganisha ambazo mimi nimempatia.
 

Babe i love u @Rowin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…