financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mmh haya mkuu, ila unahisi hayo maneno hayawezekani?Ngoja uwe mke.
You will learn!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh haya mkuu, ila unahisi hayo maneno hayawezekani?Ngoja uwe mke.
You will learn!!
[emoji38]This is serious ukiwatafakari wanawake (wake zetu) unaweza juta kwanini ulioa!!!
Ila angalau nafarijika hayanikuti peke angu[emoji39][emoji39]
Shida hua ipo pale pesa inapokuwepo hua mnapanga wote Budget??mim wangu hua yupo 50/50.Habari wakuu.
Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa.
Hebu tupe mtazamo kwa huyo wa kwako.
Yani anadai hela kwa kilio kmmmke dah?!Yaan mkuu huyu wangu kama anakudai pesa yake na pengine labda hukufanikiwa kuipata aisee hadi uwa analia machozi kama mtoto na hapo umemuhaid kwamba utampatia pesa yake
Kweli kabisa mkuu, ni makahaba ambao hawako certified ila wanajishughulisha na uuzaji maku kiholela 😅😅😅!Niligundua wanawake wengi sana (siyo wote) sasa ni makahaba(prostitutes) kibarua kiliota nyasi nilinuniwa na unyumba kunyimwa,halafu mambo yaliporudi sawa bila aibu anajichekelesha na kurudisha mahaba. Kwa sasa nanunua tu makahaba wasiojipanga barabarani maana sasa wanawake wenye mapenzi ya kweli wamekuwa hatarini kutoweka (extinction) mapenzi yamekuwa biashara holela.
Wanawake ambao kutwa kukucha eti siwezi kumlea mwanaume mimi,ila mume yeye anakulea na kukuvisha bila kuchoka miaka yote ila akipata majanga kiuchumi unamgeukia hivi mtu wa aina hii akitoa hela yake alishe familia week tu sindio na deki utapigishwa kabisa?kabisa kuna wake wanabeba waume zao ndani na kuwastiri mno
hii pia utegemeana na jinsi anavyomtreat mkewe anapokuwa na pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake ambao kutwa kukucha eti siwezi kumlea mwanaume mimi,ila mume yeye anakulea na kukuvisha bila kuchoka miaka yote ila akipata majanga kiuchumi unamgeukia hivi mtu wa aina hii akitoa hela yake alishe familia week tu sindio na deki utapigishwa kabisa?
Ndio hao hao leo hii wamegeuka malaika eti atamsupport tu sababu anajua kuna kupata na kukosa 😅😅😅! Ila ikija mada ya kusaidiana na mume utaona walivyo vinyonga 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atatangazia na Umma kuwa anakulisha
Unampitisha katika kaa la motoKwenye kujua kama huyu ni kahaba ndo kwenye mtihani mzito
Ila na mimi....[emoji854][emoji6]
kelphin kepph hii kitu inaitwa Pesa inaharibu sana ndoa...cha muhimu ni kuhakikisha mume na mke muwe same team inapokuja suala la mapato na matumizi kwenye familia....
Sio ile ya mimi zangu na wewe zako....mkijiwekea hela ni zenu wote, hata siku mkiishiwa...mtakuwa wawili kwenye Stress na mtafarijiana jinsi ya kutoka huko....
Tatizo linakuja wengi wetu hatupendi kuunganisha vipato vyetu, kugawana majukumu na bila kusahau kuongelea jinsi ya kusaidiana kujiendeleza huko mbeleni.
Hili swali ungeniuliza mimi ningekuwa nishakujibu fasta. Unaweza kuta mtu unapata mke kwa kukomenti tu.
adden changamkia fursa hii
Sasa kwani walio olewa hawawezi kutamani nje? Au walioko ndani ya ndoa hawachepuki? Aaah weeile habari ya Mjeda haikuwa yako?
😮 😮 😮.... I wasn’t expecting this...you are pretty 😎 too.... 😉😉🙃🙃Babe i love u @Rowin
Ni mkeo na ndugu zako wa kike,usilazimshe tabia mbaya za mkeo kuwa kwa kila mwanamke..Sa nyote si wale wale