Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?


Hivi kabla ya kuoa hamfundishwagi kukaa na wanawake? Kweli uchawi Upo!
 
wewe ni fala
 

Uku ndo panakufaa achana na utoporo[emoji16]
 
Wewe ni mpumbavu ..... Unakutana na mkeo kwenye kona za mitaani unashindwa kumuuliza anaenda wapi?
Alafu na mkeo nae anakutana na wewe anakupa hai alafu anaendelea na mambo yake ina maana yeye ndio kakuoa sasa!
 
Usilale kabla hujakoment
 
Amna unaenda nae wote mkaliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yaani mke wangu atoke nyumbani bila kunijulisha anaenda wapi!!?unaishi sayari gani mkuu?


Sent using IPhone X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…