yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Inaonekana huna sauti mbele ya mkeo, means mkeo anakuendesha kidizainKisa hik ni cha kwel kabisa!!Mkuu hata skumuuliza kuwa anaenda wap!!! si unajua kuwa ukimuuliza utaonekana kama unamfuatilia na kumchunguza chunguza,,, ila baada ya kuachana nae ndo akil akanijia kuwa ningemuuliza,lakn nilikuwa nshachelewa,na nilibak na hasira zangu tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app