yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Inaonekana huna sauti mbele ya mkeo, means mkeo anakuendesha kidizainKisa hik ni cha kwel kabisa!!Mkuu hata skumuuliza kuwa anaenda wap!!! si unajua kuwa ukimuuliza utaonekana kama unamfuatilia na kumchunguza chunguza,,, ila baada ya kuachana nae ndo akil akanijia kuwa ningemuuliza,lakn nilikuwa nshachelewa,na nilibak na hasira zangu tu!!
Hahahaa. Lol.Uku ndo panakufaa achana na utoporo[emoji16]
Unawezaje kurudi nyumbani na kumwacha mke atoke bila kujua anaenda wapi?Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezin,nilipoamua nirud nyumban kwenye kona furan iv nikakutana na wife tukapeana hai baadae akaendelea na mishe zake,ila moyo nkawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa,lakn nilishindwa kumurudisha.
Nilipofka hom nilisubr takriban masaa manne ndo akarud na alionesha dalil zote za kuliwa!!! swali langu ni je ningemrudisha tulipokutana??? na ningetumia kigezo gan?? karibun
Hahahaa. Lol.
Halafu ulinichunia eti. [emoji17] Yaani ukajifanya kama huoni quote zangu.
Haya.[emoji1][emoji1][emoji1]
Wanacheza nini jiraniKama ulichokiandika ni kweli basi jua mnacheza tu humo.
Andaaa wese kabsa mkuuuSmart phone zimeleta mengi, niko busy namchombeza mke wa mtu hapa!
Wanacheza ndoa ya maigizo jirani.
Ndoa za kisasa.Wanacheza ndoa ya maigizo jirani.
[emoji15][emoji15][emoji15]Zimwi likujualo halikuli likakwisha...Muda bado unao wa kufatilia hilo jambo,,wala usikurupuke..Ila uwe mvumilivu..Maisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu
Ndio naaga.
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezin,nilipoamua nirud nyumban kwenye kona furan iv nikakutana na wife tukapeana hai baadae akaendelea na mishe zake,ila moyo nkawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa,lakn nilishindwa kumurudisha.
Nilipofka hom nilisubr takriban masaa manne ndo akarud na alionesha dalil zote za kuliwa!!! swali langu ni je ningemrudisha tulipokutana??? na ningetumia kigezo gan?? karibun
Aisee wew jamaa ni kiazi.. Tena kiazi ambacho hakijakomaa aiseeSiku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezin,nilipoamua nirud nyumban kwenye kona furan iv nikakutana na wife tukapeana hai baadae akaendelea na mishe zake,ila moyo nkawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa,lakn nilishindwa kumurudisha.
Nilipofka hom nilisubr takriban masaa manne ndo akarud na alionesha dalil zote za kuliwa!!! swali langu ni je ningemrudisha tulipokutana??? na ningetumia kigezo gan?? karibun
Ungepiga simu baada ya saaKisa hik ni cha kwel kabisa!!Mkuu hata skumuuliza kuwa anaenda wap!!! si unajua kuwa ukimuuliza utaonekana kama unamfuatilia na kumchunguza chunguza,,, ila baada ya kuachana nae ndo akil akanijia kuwa ningemuuliza,lakn nilikuwa nshachelewa,na nilibak na hasira zangu tu!!
Yaani unapishana na mkeo ambaye safari yake tu ushaitilia mashaka. Dukivip mkuu??