Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Unasema mie mwanaume toa picha zangu,halafu Kuna mawili Moja nakukera nikiwa humu JUA hili nitakuwepo,sintobadilika. Nitaitwa unique flower kila daily nitapost nitacomment mpaka Sasa,umebadilisha ID kibao ili uniite dume ,unahangaika kama nimefira ukoo wenu including you unanijia kama nilikupump nikakudump,sikia hapa wewe utaendelea tu kuumia pole,Mi sikutukani ila nataka uweke id ya kiume we choko
Unajibebisha hapa kwa wanaume kumbe watu hawajui wanachart na dume mwenzio
Kaa kiume badilisha id hiyo haraka sana
Au unatafuta ma sponsor humu eti we bodaboda
Sawa bro,Unasema mie mwanaume toa picha zangu,halafu Kuna mawili Moja nakukera nikiwa humu JUA hili nitakuwepo,sintobadilika. Nitaitwa unique flower kila daily nitapost nitacomment mpaka Sasa,umebadilisha ID kibao ili uniite dume ,unahangaika kama nimefira ukoo wenu including you unanijia kama nilikupump nikakudump,sikia hapa wewe utaendelea tu kuumia pole,
Sifa ya kwanza ni kuwa na sauti na mamlaka kwa mkeounamiaka mingapi?naona vijana siku hizi hamjui nini maana ya kuwa mume
Wewe ndo mwanamke, huyo unayemwita mkeo ndo mwanaume.Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.
Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?
Karibuni.
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.
Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?
Karibuni.
Kabebwa na piki pik akaondoka nayo fasta,Sasa ntamfatilia VIP kujua kaingia maeneo gan??Akili ndogo tu ungetumia, kumfuatilia kwa nyuma hadi kona ya mwisho. Ukijiridhisha ameingia mazingira ya kuchepuka, tafuta kampani kumbana.
Ila kama bado unampenda, usimfuatilie. Mpe uhuru wa kuchepuka.
Mkeo anaondokaje nyumbani kwa karibu masaa 4 na hujui alipo na anachofanya?Nipe ushaur mkuu,matus baadae
Mkuu naomba ushaur!! Maana mazingra yalijionesha kabsa kuwa anaenda kuliwa,ila nilikosa namna ya kumzuia,maana ningeanzeje??Kapimwe afya ya akili, na mke wako anaishi na mtu wa hovyo sana, Kama mke wako alikuwa anaenda kufanya hivyo, akakutana na wewe na akaendelea na hiyo agenda, then wewe sio mwanamke.
Siamini kabisa kama alienda fanya hivyo
Wanawake Kama unavyowajua mkuu huwa wanavisingizio Ving,wew unahis ningemrudisha angekosa Cha shda ya kusingizia ??Mkeo anaondokaje nyumbani kwa karibu masaa 4 na hujui alipo na anachofanya?
Ulipokutana nae na kuhisi tu, ungemwamuru arudi home unamgegeda na kubaki naye hadi jioni. Ungekuwa umemwepusha.
Hakuwa hata na simu ukampigia arudi nyumbani haraka?Kabebwa na piki pik akaondoka nayo fasta,Sasa ntamfatilia VIP kujua kaingia maeneo gan??
Mkuu naomba ushaur!! Maana mazingra yalijionesha kabsa kuwa anaenda kuliwa,ila nilikosa namna ya kumzuia,maana ningeanzeje??
Kaa nae chumbani, mwambie unampenda. Asikuumize makusudi. unatambua nyendo zake.Cm aliiacha ndan