Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Daaaa! Kakwambia kweli kwamba anatoka kuchepuka? Mwamba huna mke. Lazima uchukue hatua za kinidhamu za kumrudisha kwao.
Watoto ndo kikwazo mkuu! Au unanshaurije kuhusu watoto?
 
Naona wewe hauko sawa upstairs unauliza kigezo chaku mrudisha mke wako, hii ni ajabu. Pengine kwenye makuzi yako haukulelewa kwenye nyumba yenye misingi ya mwanaume halisi.
HAKIKA UDHAIFU UKO KWAKO
 
Kwa hyo nifanye nn mkuu?
 
Watoto ndo kikwazo mkuu! Au unanshaurije kuhusu watoto?
Jipange kuhusu watoto lakini hapo huna mke. Mimi nilishaacha mke na mtoto yalinishinda. Otherwise utazeeka na ma stress za mwanamke. Asikwambie mtu ni bora viibiwe vitu vyote vya ndani kuliko watu kukuibia mwenza wako inauma sana.
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.

Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?

Karibuni.
Kwa mwanamke anae kupenda na mwenye akili akikuona umerudi nyumbani muda ambao inatakiwa uwepo kwenye mihangaiko lazima nae arudi chap kujua kulikoni.

Ila kwa hapo bro tafuta mwingine mapema kabisa kabla mambo hayajawa mengi
 
Boda ikikupta baada ya dk Kama mbil hiv ni ngum kuiona,hasa maeneo ya mjin
Yani Dak 12 zinatoka wapi na wew umemuona muda huo anapita na Boda??? Why usipande Boda nyingine kumfatiliaa au maeneo hayo hakuna Boda na umesema ni town..
 
Naona unarahisisha vitu Sana mkuu!!
 
Kwa mwanamke anae kupenda na mwenye akili akikuona umerudi nyumbani muda ambao inatakiwa uwepo kwenye mihangaiko lazima nae arudi chap kujua kulikoni.

Ila kwa hapo bro tafuta mwingine mapema kabisa kabla mambo hayajawa mengi
Malez ya watoto hawatapata changamoto ?
 
Jipange kuhusu watoto lakini hapo huna mke. Mimi nilishaacha mke na mtoto yalinishinda. Otherwise utazeeka na ma stress za mwanamke. Asikwambie mtu ni bora viibiwe vitu vyote vya ndani kuliko watu kukuibia mwenza wako inauma sana.
Ahsante kwa ushaur mkuu
 
Back
Top Bottom