Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

We jamaa yani mke wako anatoka nyumbani Masaa manne bila kukuaga ,aya umekutana nae umeshindwa ata kumuuliza anaenda wapi!?

Acha ugongewe.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kumbuka Kuna mazngra furan hiv,huwez kumhoji mtu,mfano umekutana nae yupo kweny boda bodo hapo utamhojije mkuu??
 
Kwa mtu unayemmiliki kihalali huko kumchunguza chunguza ndio inatakiwa sasa.

Na wenye ndoa zilizo na misingi watakushangaa sana wakisikia mkeo anaondoka nyumbani bila ridhaa yako halafu unakutana naye humuulizi wala nini zaidi ya kumpa hiyo unayosema sijui hi. LOL.

Jiangalieni kwa kweli.
Tusimlaumu sana wanawake wanaongoza kwa kutumia nguvu za giza kutufanyia sisi waume zao.
 
Kitendo cha kuja kuomba ushauri jinsi ya kummudu mkeo kwa jambo ambalo una yakini kabisa kuwa keshalifanya ni dhahiri kuwa humo ndoani huna kauli.
Kama kweli ungekuwa unasimama kama mume kwenye ndoa yako ilipaswa ujue kila mzunguko wa mkeo, kitendo cha kukutana nae na usijue anakoelekea ukabaki na dhana tu, hiyo ni wazi kuwa anakuchukulia kama binti mwenzie. Mwanamke anaemuheshimu mumewe hasa asingekuwa na ujasiri wa kwenda kuukatikia baada ya kukutana na wewe. Lazima angegeuza na kurudi nyumbani. Kitendo cha kuendelea na safari yake alijua fika kuwa huna madhara.
Subiri siku akuletee mume mwenzio ndani kwenu kabisa, nahisi hapo utakuwa na ithibati tosha.
Na bado kakaa huko masaa manne. Duuu! Estimation kapigwa bao 3.
 
Back
Top Bottom