Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Mi sikutukani ila nataka uweke id ya kiume we choko

Unajibebisha hapa kwa wanaume kumbe watu hawajui wanachart na dume mwenzio

Kaa kiume badilisha id hiyo haraka sana

Au unatafuta ma sponsor humu eti we bodaboda
Unasema mie mwanaume toa picha zangu,halafu Kuna mawili Moja nakukera nikiwa humu JUA hili nitakuwepo,sintobadilika. Nitaitwa unique flower kila daily nitapost nitacomment mpaka Sasa,umebadilisha ID kibao ili uniite dume ,unahangaika kama nimefira ukoo wenu including you unanijia kama nilikupump nikakudump,sikia hapa wewe utaendelea tu kuumia pole,
 
Sawa bro,
 
Tanzania yangu imepoteza wanaume kwa kiwango cha kasi sana yaani unahisi mkeo anaenda kugongwa unamwacha anaenda na anagongwa kweli kisha unakuja kuomba ushauri ufanye nini? Kama umeweza kuvumilia masaa manne aliyogongwa huku unajua na kafika nyumbani hujamwuliza basi wewe ndiyo tatizo ,nakushauri thibitisha hisia zako ukipata ushahidi kuwa huwa anagongwa achana naye mara moja maana asipokuua utamwua

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.

Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?

Karibuni.
Wewe ndo mwanamke, huyo unayemwita mkeo ndo mwanaume.
 
Akili ndogo tu ungetumia, kumfuatilia kwa nyuma hadi kona ya mwisho. Ukijiridhisha ameingia mazingira ya kuchepuka, tafuta kampani kumbana.

Ila kama bado unampenda, usimfuatilie. Mpe uhuru wa kuchepuka.
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.

Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?

Karibuni.

Kapimwe afya ya akili, na mke wako anaishi na mtu wa hovyo sana, Kama mke wako alikuwa anaenda kufanya hivyo, akakutana na wewe na akaendelea na hiyo agenda, then wewe sio mwanamke.

Siamini kabisa kama alienda fanya hivyo
 
Akili ndogo tu ungetumia, kumfuatilia kwa nyuma hadi kona ya mwisho. Ukijiridhisha ameingia mazingira ya kuchepuka, tafuta kampani kumbana.

Ila kama bado unampenda, usimfuatilie. Mpe uhuru wa kuchepuka.
Kabebwa na piki pik akaondoka nayo fasta,Sasa ntamfatilia VIP kujua kaingia maeneo gan??
 
Nipe ushaur mkuu,matus baadae
Mkeo anaondokaje nyumbani kwa karibu masaa 4 na hujui alipo na anachofanya?

Ulipokutana nae na kuhisi tu, ungemwamuru arudi home unamgegeda na kubaki naye hadi jioni. Ungekuwa umemwepusha.
 
Kapimwe afya ya akili, na mke wako anaishi na mtu wa hovyo sana, Kama mke wako alikuwa anaenda kufanya hivyo, akakutana na wewe na akaendelea na hiyo agenda, then wewe sio mwanamke.

Siamini kabisa kama alienda fanya hivyo
Mkuu naomba ushaur!! Maana mazingra yalijionesha kabsa kuwa anaenda kuliwa,ila nilikosa namna ya kumzuia,maana ningeanzeje??
 
Mkeo anaondokaje nyumbani kwa karibu masaa 4 na hujui alipo na anachofanya?

Ulipokutana nae na kuhisi tu, ungemwamuru arudi home unamgegeda na kubaki naye hadi jioni. Ungekuwa umemwepusha.
Wanawake Kama unavyowajua mkuu huwa wanavisingizio Ving,wew unahis ningemrudisha angekosa Cha shda ya kusingizia ??
 
Kabebwa na piki pik akaondoka nayo fasta,Sasa ntamfatilia VIP kujua kaingia maeneo gan??
Hakuwa hata na simu ukampigia arudi nyumbani haraka?

Kama ningekuwa mimi, sahizi ningekuwa mahabusu.

Mke anapoondoka nyumbani licha ya kuaga, nitataka nijiridhishe na mavazi yake pia.
 
Mkuu naomba ushaur!! Maana mazingra yalijionesha kabsa kuwa anaenda kuliwa,ila nilikosa namna ya kumzuia,maana ningeanzeje??

Hapana, ukiishi hivyo utaishi maisha ya shida sana, na usingemzuia, ungeweza tafuta boda ukampa 10,000 amfuate.

Kuna namna rahisi sana za kujua kama mke ana cheat, kuliko kuishi hayo maisha, bora utafute na ujue kabisa.

Kwani mke wako akitoka masaaa 4 hasemi anapoenda? Na akiwa huko huwezi mpigia? Mbona unaishi maisha magumu hivyo Kaka?
 
Lakini kwa namna unavyoongea inaonekana mke wako anajua uzaifu wako na hajali.
 
44mg44 Samahani Kiongozi..Me ni mwanamke lakin naomba nikuulize Umeoa au Umeolewa?

Aisee we ni Mwanaume? Au Mtoto wa Kiume? Samahani ila haufai kuitwa Mwanaume

Kama tu kumsimamia Mkeo huwezi hufai kua Mwanaume..unawadhalilisha Wanaume wenzio..Mkeo katoka hujui alipoenda ndani ya masaa 4🤨

Hili nalo la kuomba ushauri kweli🙃🙃🙃
 
Hakuwa hata na simu ukampigia arudi nyumbani haraka?

Kama ningekuwa mimi, sahizi ningekuwa mahabusu.

Mke anapoondoka nyumbani licha ya kuaga, nitataka nijiridhishe na mavazi yake pia.
Cm aliiacha ndan
 
Cm aliiacha ndan
Kaa nae chumbani, mwambie unampenda. Asikuumize makusudi. unatambua nyendo zake.

Aliacha simu kwa makusudi ili usimpate.

usitumie hasira lakini onesha msimamo kama mwanaume.

Asipokuelewa, angalia namna ya kuishi kwa amani ya moyo wako kuhusiana na ndoa.

Binafsi niko tayari kuteseka kutafuta sh 1000 lakini siyo mahusiano.
 
Back
Top Bottom