Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhi! Usiseme unasababisha uwe na utelezi mwingiNapenda sana mlenda na una faida nyingi mwilini kuliko unavodhani, pia kwa wanawake wakavu inasaidia sana kule ikulu
Yes hasa wa bamia ule, inasaidia sana, hata ukikata bamia na kuloeka kwa maji then unywe unasaidia sana kule ukavu kunakuwa wet, pia kwenye joints za mwili na ule Ute ute na wanawake inasaidia kutokuchanika.Mmmhi! Usiseme unasababisha uwe na utelezi mwingi
Acha utani, hiyo sidhani kama ni halisia ingekuwa hivyo pale Singida na Manyara mabinti wengi wangekuwa na utelezi sana maana kwa kula bamia wanaongozaYes hasa wa bamia ule, inasaidia sana, hata ukikata bamia na kuloeka kwa maji then unywe unasaidia sana kule ukavu kunakuwa wet, pia kwenye joints za mwili na ule Ute ute na wanawake inasaidia kutokuchanika.
Weeee!!! Magogoni?Napenda sana mlenda na una faida nyingi mwilini kuliko unavodhani, pia kwa wanawake wakavu inasaidia sana kule ikulu
Ni mboga kama za majani pia.Kuna huu unaitwa mlenda wa kienyeji. Watu wanatumia majani na wengine maua ya kukaushwa. Hivi hii mboga inavirutubisho vyovyote?
Sema ukishaweka dagaa na samaki tayari inakuwa kitu kingine. Nazungumzia ule wa maua au majani ya porini yaliyokaushwa.kwanza futa hii statement kwa title yako "au watu wanakula ili wasife" hili ni tusi kwa hii mboga mkuu...😂...temana na mlenda kabisa,uupate na dagaa wa kukaanga au samaki...😋
Hii naweza kUkubaliana na wewe na inawezekana kabisa, maana magadi ni ant-acid. Yanakata acid tumboni inayochoma vidonda na kuvipa nafasi ya kupona.kabla ya yote hiyo ndio TIBA namba 1 ya VIDONDA VYA TUMBO
bamia la 300 lililoungwa na magadi ya tsh 100 ni au ukipenda unaongeza na nyanya chungu tiba kubwa ya vidonda vya tumbo
kama wewe unaumwa au nduguyo anaumwa Ale ugari na mlenda mchana kwa kipimo hicho kisha ashushie na glasi 1 juisi fresh ya parachichi
Ninakuhakikishia 100% anapata NAFUU hapo hapo baada kumaliza huo mlo na kinywaji hicho
na akila hvyo bira kuacha kwa muda wa wiki 1 mpk 2 huku kila usiku au asubuhi akinywa glasi 1 ya maji yalichanganywa na magadi
Anapona kabisa