Nilienda Hospital moja mwanza inaitwa CF nikapimwa kojo...nikaambiwa pus cells above 60
nilipewa Erythromycin nikabonda siku saba hamna kitu mzee kwenye kukojoa kitu inawasha mbaya.....afu napata penile discharge mala clear mara kijan mara kama usaha fulani duuuh....kikazi nikaenda Dar nikapita kairuki nikapimwa tena kojo na damu wakasema STDs ni neal ila na m UTI wa hatari nikapewa Azithromycin(Azuma) nikabonda siku sita hamna kitu aisee[emoji24][emoji24]....mpaka nimepanga nianze kubonda mitishamba...
Vizuri fanya kila hila nenda MUHIMBIRI uonane na SPECIALIST
kikubwa usikubari kutumia dawa ikiwa awajakuambia nini tatizo kwa kufanya uchunguzi shida nini
inaonesha upo katika CONDITION mbaya
fanye uende MUHIMBIRI uonane na SPECIALIST ili akuoe dawa stahiki na aina ya bacteria wanaokushambulia
HAKUNA U.T.I sugu kilichopo ni USUGU wa dawa kutokana na matumizi mabovu mabaya ya dawa za kiANTBIOTIC ndicho kilichokukumba wewe sasa kabla ujaharibu kabisa FIGO
fanya ufike MUHIMBIRI
usugu wa dawa ni kutumia dawa za ANTIBIOTICS bila kufahamu dawa unayotumia ina uwezo wa kuteketeza Bactreria au FUNGAL wanaokusumbua
hali hiyo ikiendelea sana inakuletea shida baadae unapokuwa na bacteria ambao hawawezi kuangamizwa tena na dawa iliozoeleka au elekezi hivyo upelekea bacteria kuwa SUGU hawauliwi tena na dawa iliozoeleka so inapelkea gharama ya matibabu kuwa kubwa au mgonjwa kupata matatizo makubwa mpk kwenye figo hivyo hupelekea kifo
nawahasa sana ndugu janga la U.T.I sasa limekuwa mzigo kwa taifa na mtaji wa wenye HOSPITAL binafsi
hvyo jali afya yako mwenyewe sana si kila U.T.I inahitaji dawa mambo mengine ni kujitahidi kuepuka na kuchukua tahadhari
utumiaji wa dawa kiholela ni hatari kwa taswira ya AFYA yako
jitahidi kujikinga kadri uwezavyo
U.T.I nyingi now day zinaambukizwa kwa njia ya NGONO haswa wanaume 80% wanapata maambukizi ya fangasi/bacteria toka kwa wapenzi wao hvyo jitahidini kulinda afya zenu
Jitahidini unapohisi maambukizi ya U.T.I kwa mara ya kwanza acha kwanza kusex na mpenz/mke
tumia juisi ya miwa glass 1changanya na ndimu 2 unakunywa wakati wa kulala
au au tumia maji ya madafu changanya na ndimu 2 mara mbili kwa siku jioni na asubuhi
madafu yapo sana kkoo kwa tshs 500 tu
ukiona hali inazidi nenda hosptari upime kwanza kipimo cha elf 3 hakikisha ni DIGITAL na akuoneshe majibu ya sampe ya mkojo uone mfan:-
Color(rangi ya mkojo – Yellow (light/pale to dark/deep amber)
Clarity/turbidity – Clear or cloudy
kiasi cha pH kati ya 4.5 mpk 8
Specific gravity
kiasi cha Glucose - ≤130 mg/d
Ketones
Nitrites
Leukocyte esterase nk
ili kujua shida inaanzia wapi mana wkt mwingine hasa kwa wanawake protini ikizidi mwilini ukienda kwa hawa maCO akamwandikia sindano badala kumuuliza yupo katika siku gani mara baada ya kupata siku
mana kwa wanawake kipindi cha nyege sana zile siku za hatari za kudaka mimba
Uzarishaji wa protini uongezeka sana sasa akijisikia homahoma akaenda hospital akapimwa mkojo lazima aonekane ana U.T.I sasa ukimchoma sindano za Ceftriaxone maarufu POWERSAFE unamuumiza unamtengenezea usugu wa dawa baadae
wakati ilipaswa umshauri namna ya kuepuka hiyio tabu na tiba si nyingine zaidi anahitajika apate MKUYENGE kupunguza hizo protini naam atafute RUNGU alioshe kuondoa hizo stress