cariha na members wengine. Mimi huwa natatizika. Mlenda hasa ni nini? Kuna wakati nilienda Singida vijijini, nikakuta wanachuma mboga fulani ambazo ukipika zinateleza wanaziita mlenda. Na wakati mwingine huwa wanazikausha na kuhifadhi lakini wakati wa kupika zinanakuwa mtelezo. Hivyo mimi nikawa naamini kuwa mlenda ni zile mboga. Kuja Dar nikakuta wanakatakata bamia na kuzichemsha na kuita ni mlenda. Mlenda ni nini hasa? Ni ule unaochumwa Singida na Dodoma au ni huu wa Dar au ni vyote? BTW hiyo faida uliyotaja kwenye sex itafanya hii thread ifikie page hata elfu kwa muda mfupi. Kijana wa kitanzania yeye mjadala wa sex hasa unaoongelea mwanamke ni kama lulu kwake.