Hivi mlenda una virutubisho vyovyote au watu wanakula ili wasife?

Hivi mlenda una virutubisho vyovyote au watu wanakula ili wasife?

Jamaaa unazingua Sana yaaan unavyoueleza mlenda utadhan kitu Cha kutisha Sana hakipatikan bongonyoso Kuna chumvi ya mawe
Chumvi ya mawe hiyo ni tiba ya kitu kingine kama mpenzi wako ameanza kupunguza mapenzi na wewe au job kwako kwenye mishe ukionge ana boss au mteja awakuelewielewi basi nitakufundisha dawa kaa kutumia hiyo chumvi ya mawe mwanawane mambo yatakuwa tawile kabisa
 
Nawezaje kutumia bro kiofisi
 
Hii mboga miongoni mwa mboga zilizo nishinda. Bamia lenyewe nimelila nikiwa mtu mzima.
 
Yes hasa wa bamia ule, inasaidia sana, hata ukikata bamia na kuloeka kwa maji then unywe unasaidia sana kule ukavu kunakuwa wet, pia kwenye joints za mwili na ule Ute ute na wanawake inasaidia kutokuchanika.
Uongo mtupu,kwaiyo ule utelezi wa bamia unaenda moja kwa moja kwenye uke!???? Ni uongo na upuuzi
 
Hapa dar unauzwa wapi?
Huo wa unga unga kama hina.
Huo upikwe na karanga.
Halafu upike kimchuzi fulani hivi cha nyama ya ng'ombe halafu uchanganye kwenye bakuli ule na kaugali weee utamu wake hatari.
 
Back
Top Bottom