Nazungumzia ule mkavu. Maua au majani ya kukausha.Nakujibi kwa kukuuliza swali;
Kwa mfano, mlenda umepikwa kwa bamia na msusa!
Tuje kwenye virutubisho;
Je, ni virutubisho gani ambavyo vinapatikana kwenye bamia na msusa ( mboga za majani za kijani)? au hakuna virutubisho vyovyote?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naskia eti mlenda unaongeza nguvu za kiume...😂Watakuja kusema zaidi wajuzi, ila huwa naambiwa ni nzuri kwa ajili ya joints, Na kubwa zaidi ni 'lift ya tonge'..!
Ahaa! Kule Unyamwezini unaitwa Nswalu.Na zungumzia ule mkavu. Maua au majani ya kukausha.
Mkuu magadi hii Ni ya aina gani ?? Chumvi au sabuniKabla ya yote hiyo ndio TIBA namba 1 ya VIDONDA VYA TUMBO, bamia la 300 lililoungwa na magadi ya Tsh 100 ni au ukipenda unaongeza na nyanya chungu tiba kubwa ya vidonda vya tumbo
Alisikika mchaga mmoja pedeshee wa Uru..Mboga ya kimaskini sana
Magadi ya aina gani Trubarg.Mlenda una bamia..majani ya boga, magadi, karanga...
Bamia, majani ya boga-vitamin kama yote
Magadi- minerals zakutosha
Karanga- vitamin, protein, mafuta
Labda kama unaswali lingine.
Nenda dukani kwa mangi nunua magadi pakti shi 100Mkuu magadi hii Ni ya aina gani ??chmvi au sabuni
Haitibu UTI sugu broKabla ya yote hiyo ndio TIBA namba 1 ya VIDONDA VYA TUMBO, bamia la 300 lililoungwa na magadi ya Tsh 100 ni au ukipenda unaongeza na nyanya chungu tiba kubwa ya vidonda vya tumbo.
Kama wewe unaumwa au nduguyo anaumwa ale ugari na mlenda mchana kwa kipimo hicho kisha ashushie na glasi 1 juisi fresh ya parachichi.
Ninakuhakikishia 100% anapata NAFUU hapo hapo baada kumaliza huo mlo na kinywaji hicho na akila hivyo bila kuacha kwa muda wa wiki 1 mpaka 2 huku kila usiku au asubuhi akinywa glasi 1 ya maji yalichanganywa na magadi anapona kabisa.
Haitibu mkuuHaitibu UTI sugu bro
Mimi nasemea experience yangu binafsi hao wa Singida sijui Mimi naongelea hasa mlenda wa bamia zaidi na sio ule wa singida wa kukaushwaAcha utani, hiyo sidhani kama ni halisia ingekuwa hivyo pale Singida na Manyara mabinti wengi wangekuwa na utelezi sana maana kwa kula bamia wanaongoza
Sema ukishaweka dagaa na samaki tayari inakuwa kitu kingine. Nazungumzia ule wa maua au majani ya porini yaliyokaushwa.
Kwenye ikulu si kweliNapenda sana mlenda na una faida nyingi mwilini kuliko unavyodhani, pia kwa wanawake wakavu inasaidia sana kule ikulu
Taratibu mama unanitia genyeYes hasa wa bamia ule, inasaidia sana, hata ukikata bamia na kuloeka kwa maji then unywe unasaidia sana kule ukavu kunakuwa wet, pia kwenye joints za mwili na ule Ute ute na wanawake inasaidia kutokuchanika.