Hivi mlianzaje biashara zenu, mbona wengine tunakwama?

Hivi mlianzaje biashara zenu, mbona wengine tunakwama?

Lungutz1

Member
Joined
Jun 23, 2023
Posts
37
Reaction score
74
Wakubwa hapa leo najaribu kuelezea madhira tunayopitia vijana tunaojitafuta, tunapata mawazo mengi na kuchora mipango mingi sana ya mafanikio...

Ukifungua notebooks zetu utaona tumeandika mipango mingi ya kutoboa ila tunakosa jinsi ya kuanza.
Binafsi natamani kuwa na biashara flani ila kila nikijaribu kuanza nashindwa, muda ninao ila ninachokosa Ni (1) Rasilimali fedha (2) Rasilimali watu.

Yaani kwenye mitaji tunafeli sana, sometimes tunatamani hata kushikwa mkono na waliotangulia kufanikiwa lakini haiwezekani.

Huwa najiuliza kwanini waliofanikiwa wanakuwa na ugumu wa kumsaidia mtu kuanzisha project zake ila wapo tayari hela zao mkatumie wote kwenye starehe alafu akiachana na wewe baada ya bata hakuachii hata senti 5[emoji23][emoji23] atakununulia kitu ila sio kukupa fedha mkononi. Kuna siri gani hapo?

MASWALI MUHIMU
1. Hivi nyie mlifanikiwa vipi kuanza biashara zenu na zikaenda?
2. Hela(mtaji) mlipata wapi?

3. Siri ya kuwa mfanyabiashara ni ipi?

ASANTENI SANA[emoji120][emoji120]
 
Aisee biashara inahitaji moyo,nakumbuka mwanzo nliteketeza mil 10,nikaokoa laki 4 pekee. Sito sahau. Lakini hatimaye nilianza upya baada ya muda kidogo
Na sasa una hali gani?
 
Wakubwa hapa leo najaribu kuelezea madhira tunayopitia vijana tunaojitafuta, tunapata mawazo mengi na kuchora mipango mingi sana ya mafanikio...

3. Siri ya kuwa mfanyabiashara ni ipi?

ASANTENI SANA[emoji120][emoji120]
Kuanzisha Biashara ni kugumu sana hapa Tz, hasa kama hujawahi kuendesha biashara ni lazima mtaji wa kwanza upotee, ndo ukipata wa pili ndo utaanza kuelewa biashara
 
Kuanzisha Biashara ni kugumu sana hapa Tz, hasa kama hujawahi kuendesha biashara ni lazima mtaji wa kwanza upotee, ndo ukipata wa pili ndo utaanza kuelewa biashara
Nimepoteza mtaji mara ya kwanza na ya pili, saiv nimedhamiria kurudi tena kwenye biashara
 
mtaji wa kupewa huwezi kuwa serious asilimia kubwa wanapoteza. raha ya biashara ni kuanza kujitafuta mwenyewe kuanzia chini na kujituma ili uje kusimulia nilianza na kuku mmoja sasa hivi nina kuku efu 10 🏃🏿 🏃🏿 . kama familia haina business background lazima uchome pesa ya kutosha kabla hujatoboa.
 
mtaji wa kupewa huwezi kuwa serious asilimia kubwa wanapoteza. raha ya biashara ni kuanza kujitafuta mwenyewe kuanzia chini na kujituma ili uje kusimulia nilianza na kuku mmoja sasa hivi nina kuku efu 10 [emoji1550] [emoji1550] . kama familia haina business background lazima uchome pesa ya kutosha kabla hujatoboa.
Ndo maana wengi tunachelewa kupata maendeleo unaanza kutafita mtaji na 25yrs unakuja kufanikiwa na kujenga nyumba yako ya kwanza uko 45+ kwanini huna msaada wowote wengi hasola ni "self made man"
 
Tuliaanza kwa kukwama kama wewe tulianguka na kupoteza mitaji mara nyingi sana lakini tulivumilia
Hapa kwetu bongo,waliofanikiwa kwenye biashara Huwa hawasemi ukweli njia walizopitia,kwa watu walioanzisha biashara ninaowafshamu tangu 2006,wengi wao walianzia kwenye ajira,wakapata pesa ndefu baada ya makampuni Yao kuvunja mikataba,watu walilipwa kuanzia 80+milioni,ndani ya mwaka,wakaanzisha makampuni Yao,Sasa hv wametoa ajira kibao,lakini wameweza baada ya 14yrs!!sio kazi ndogo,na kama wasingepata zali la kulipwa kiinua mgongo,mpqkq Leo,ningekuwa nao tunasubili salary na uenga huu!!!
 
Hamna kundi linalo choma mtaji kama hao wastaafu kwa kutumia kuinua mgogo chao, mtu anaanzisha duka la pombe kwa 30m kodi ya jengo 500k sales 50,000 kwa siku faida negative baada ya mwaka ana funga af anafungua duka la nafaka la 20m kwasbb pesa anao lina kata tena kwasbb hajui misimu ya mazao.....hivo hivo mpaka anafilisika na kuokoka kanisani anatoa ushuhuda.
 
Back
Top Bottom