The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
Asante kwa kufika, karibu tena
maana kila nnakutana nae mambo ni hivyo tu kasoro kuna wasambaa nilipishana tu walikua wanaongea kisambaa tuuHe he he he
Ukifika pale jaribu na wewe kuongeza Kiingereza uone.
Ukiona kinanyooka kama cha wale wadada wanaokatiza katiza mule, basi jua upako upo kwa wote.
Ila kama usipoweza, jua si kwa wote
kitunda ndo wapi we nyan'gwaNyie ndio wale mnatoka kitunda kuja mlimani cty kununua mkate...mbona watu wanaongea mpk kindengereko pale
Basi kiingereza chenyewe chakuchechemea korokocho tuWengine wapo field kutoka kwa rasi simba
ki nini??Mh! Mbona sijawahi kukutana nacho!
Kiingerezaki nini??
huhuhuhhhhhh πππππBasi kiingereza chenyewe chakuchechemea korokocho tu
au haukielewi?Kiingereza