The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
Masela,
Hivi pale Mlimani city kuna upako gani kila anayefika pale automatic tu anaongea kiingereza au ni mimi tu ndo nimeyaona haya?