Hivi Mlimani City kuna UPAKO WA KIINGEREZA?

Hivi Mlimani City kuna UPAKO WA KIINGEREZA?

He he he he
Ukifika pale jaribu na wewe kuongeza Kiingereza uone.

Ukiona kinanyooka kama cha wale wadada wanaokatiza katiza mule, basi jua upako upo kwa wote.
Ila kama usipoweza, jua si kwa wote
maana kila nnakutana nae mambo ni hivyo tu kasoro kuna wasambaa nilipishana tu walikua wanaongea kisambaa tuu
 
Back
Top Bottom