mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 702
- 2,716
Wakati unawaza hayo,jipoze na hii mkuu👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kuwa cansel hao wanaotaka michango kwanza ndo utajenga. Pia kama una mke uwe unampuuza baadhi ya vitu anavyotakaKila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga?
Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja wa kausha damu, na kama ni biashara utaona inakufa mbele ya macho yako.
Mjini mambo yote yanahitaji fedha. Unawezaje kujenga ???
Bado kuna michango ya harusi, kitchen party, birthday party, misiba, na mitoko ya weekends, bila kusahau kusaidia ndugu na jamaa wa vijijini.
Naomba mbinu mlizotumia. Na muwe wakweli.
SawaKwanini usikitike? Mbona malipo mengine ya kodi ni kama rejesho la mkopo? Mfano unalipa kodi 600,000 kwa mwezi kuna ubaya kuchukua mkopo ujenge na urejeshe mkopo 600,000 kila mwezi?
Ukichukua mkopo baada miaka kadhaa nyumba inakuwa yako. Ukipanga hata miaka 20 utaendelea kuwa mpangaji tu.
Zilizojengwa na waoga wa maisha?Kwanini uishi maporini na kuna hoteli na nyumba za kupanga kibao.
fata njia zifuatazo:Kila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga?
Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja wa kausha damu, na kama ni biashara utaona inakufa mbele ya macho yako.
Mjini mambo yote yanahitaji fedha. Unawezaje kujenga ???
Bado kuna michango ya harusi, kitchen party, birthday party, misiba, na mitoko ya weekends, bila kusahau kusaidia ndugu na jamaa wa vijijini.
Naomba mbinu mlizotumia. Na muwe wakweli.
Zimejegwa kwa lengo la biashara sio wao kuishi.Zilizojengwa na waoga wa maisha?