Hivi mliojenga hapa mjini, mliwezaje? Mna miujiza ama ni wezi?

Wakati unawaza hayo,jipoze na hii mkuu👇
Your browser is not able to play this audio.
 
Anza kuwa cansel hao wanaotaka michango kwanza ndo utajenga. Pia kama una mke uwe unampuuza baadhi ya vitu anavyotaka
 
Reactions: G4N
Acha kuumiza kichwa mwamba, hela ya kujenga inakujaga tu yenyewe.

Endelea kusevu hela na kuongeza vyanzo vya kukuingizia mikwanja, utajenga tu.
 
Sawa
 
fata njia zifuatazo:
1.kwanza fanya uamuzi kuwa unataka kujenga
2.tafuta kiwanja kwenye maeneo yanayolingana na kipato chako
3.Choresha ramani na peleka halmashauri ili iidhinishwe na ramani iwe nyumba ndogo tu ambayo utaimudu
4.Sasa anza kununua simenti kidogo kidogo,huku unatafuta fundi atakayekujengea
5.Ukifikisha mifuko 50 anza kutunza hela kwa ajili ya kujenga msingi.Sasa mpaka hapo utakuwa umepata uzoefu wa kujenga na utaendelea polepole hatima yake utamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…